Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kweli mkuu kuna mashule ya serikali yamejaa vyuma kwa nje mpaka raha[emoji119]Umekuwa kama mimi siku hz nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kwel kwel na hata hawawez kuwapa motisha wanafunz,nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha
Hv inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpik yake ya kwendea kazini anachagua sanlg,yaan boxer,tvs,baja,xl,honda huzion
Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha
Babu shule gani anasoma mjukuu wako? Elimu bila malipo au privateLeo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Kweli mkuu nawakati wengi wao wanaangaika tu hela ya mafuta shida maisha yanawapiga tuKwanza umasikini mkubwa sana ni KUFIKIRI mtu kuwa na GARI ndio ana Maisha mazuri sana.
hahahahahahaKwanza utaweza sema tupo vicoba tumekuja kufanya marejesho hatari sana
Nitakwenda kuona siku mojaNyoosha maelezo Shule gani Au Std 7 ya kayumba?huko wengi choka mbaya,njoo kikao cha wazazi huku feza school au Tanganyika uone ma VX V8 utafikiri bungeni.
hahahahaMjukuu anasoma Darasa la Saba au Grade 7?
😂 😂 😂Nyoosha maelezo Shule gani Au Std 7 ya kayumba?huko wengi choka mbaya,njoo kikao cha wazazi huku feza school au Tanganyika uone ma VX V8 utafikiri bungeni.
Hatupendi show offLeo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Wewe Fata maisha yakoLeo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Pitia Uzi naona umekurukupuka pole mwalim vumilia ndio kazi mimi nasema wazazi tulioenda ndio atukuwa na magari kama vile tunavyoonaga mashule mengineMleta mada akili ndogo sana! Mwalimu wa Primary unataka apaki gari kwa Mshahara upi ?! Bei ya lita moja ya petrol ni tshs.2800/= hadi tshs.3,000/=. Bado service ya gari kila mwezi !
Ukitaka sifa zingine za kijinga eti una gari basi!!
Walimu wetu wengi wana maarifa ndo maana unakuta Mwalimu wa Primary amejenga nyumba yake na anaishi maisha decent lakini li graduate liko Bank limepanga nyumba na likifukuzwa kazi linachoka haraka kama teja!
Itakua wa kidumu na kuni tu huyuvipi huyo mtoto anapanda yale magari ya njano au ndio wale kesho mje na kuni, kidum cha maji na fagio
Akili yako ndogo sana! Bado unawaza gari!Yaani
Pitia Uzi naona umekurukupuka pole mwalim vumilia ndio kazi mimi nasema wazazi tulioenda ndio atukuwa na magari kama vile tunavyoonaga mashule mengine