Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Mleta mada akili ndogo sana! Mwalimu wa Primary unataka apaki gari kwa Mshahara upi ?! Bei ya lita moja ya petrol ni tshs.2800/= hadi tshs.3,000/=. Bado service ya gari kila mwezi !
Ukitaka sifa zingine za kijinga eti una gari basi!!
Walimu wetu wengi wana maarifa ndo maana unakuta Mwalimu wa Primary amejenga nyumba yake na anaishi maisha decent lakini li graduate liko Bank limepanga nyumba na likifukuzwa kazi linachoka haraka kama teja!