Leo nimeenda kwenye kikao cha wazazi darasa la Saba, hakuna mzazi hata moja kaja na gari. Kuna kitu nimejifunza

Mleta mada akili ndogo sana! Mwalimu wa Primary unataka apaki gari kwa Mshahara upi ?! Bei ya lita moja ya petrol ni tshs.2800/= hadi tshs.3,000/=. Bado service ya gari kila mwezi !
Ukitaka sifa zingine za kijinga eti una gari basi!!
Walimu wetu wengi wana maarifa ndo maana unakuta Mwalimu wa Primary amejenga nyumba yake na anaishi maisha decent lakini li graduate liko Bank limepanga nyumba na likifukuzwa kazi linachoka haraka kama teja!
 
Umekuwa kama mimi siku hz nikipita shule yoyote ya primary ya serikali nikaona hakuna hata kagari kakuzugia huwa najua walimu wa pale wamepigika kwel kwel na hata hawawez kuwapa motisha wanafunz,nachukia mno kuona mapikpik aina ya sanlg yamepakiwa shuleni utazan bodaboda ndo wamo madarasan wanafundsha

Hv inakuwaje mtumishi wa serikali anaenda dukan kununua pikpik yake ya kwendea kazini anachagua sanlg,yaan boxer,tvs,baja,xl,honda huzion

Ila kuna baadhi ya mashule ya primary ya serikali yapo njema hatari nje unakuta watu wamepaki vyuma hadi unashangaa,ila walimu wa hv sizan kama wanakomaa sana kufundisha
Kweli mkuu kuna mashule ya serikali yamejaa vyuma kwa nje mpaka raha[emoji119]
 
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Babu shule gani anasoma mjukuu wako? Elimu bila malipo au private
 
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anataraji kufanya mtihani mwaka huu.nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni.nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje mbona hakuna ata gari moja ya mzazi na pikipiki baskeli na waenda kwa miguu hii ilinipa mawazo na kuwaza mambo tofauti ata nilipoingia ndani wazazi tuliopo ni mavazi yetu tu yanakuoa jibu sisi wazazi namna gani mungu ibariki Tanzania wabariki na watu wake
Hatupendi show off
 
Wewe Fata maisha yako
 
Yaani
Mleta mada akili ndogo sana! Mwalimu wa Primary unataka apaki gari kwa Mshahara upi ?! Bei ya lita moja ya petrol ni tshs.2800/= hadi tshs.3,000/=. Bado service ya gari kila mwezi !
Ukitaka sifa zingine za kijinga eti una gari basi!!
Walimu wetu wengi wana maarifa ndo maana unakuta Mwalimu wa Primary amejenga nyumba yake na anaishi maisha decent lakini li graduate liko Bank limepanga nyumba na likifukuzwa kazi linachoka haraka kama teja!
Pitia Uzi naona umekurukupuka pole mwalim vumilia ndio kazi mimi nasema wazazi tulioenda ndio atukuwa na magari kama vile tunavyoonaga mashule mengine
 
Sema ukiwaza sana unaweza kuwa na makasiliko ukawa kila unayemuona unamchukia ukidhani kuwa maisha anayoishi yeye kuna asilimia ya maisha yako kachukua yeye .ukipishana na ile migari yao mikubwa.
 
Ungetwambia kwanza agenda ya kikao tingekusaidia kuconclude make kuna agenda za shelu za mchangani na matawi ya juu
 
Agenda ilikuwa Kambi ya watoto wa darasa la 7 tujipange tuandae ndio tuliitwa kujadili kama inawezekana
 
Back
Top Bottom