Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.
Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.
View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd
Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].
2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;
www.jamiiforums.com
Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;
www.jamiiforums.com
Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.
Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.
Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.
Way to go Mr. Lissu. You got my full support on this one!

Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?
Swali kwa wapinzani. Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini? Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini? Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana. Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje...
Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;
Pre GE2025 - Useful pointers to CHADEMA: Civil disobedience and passive resistance
CHADEMA, Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa. Civil disobedience na passive resistance. Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM. Mifano: 1...