Leo nimefurahi sana kumsikia Tundu Lissu akisema yale ambayo nimekuwa nikiyasema kwa miaka mingi!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.

Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.

Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.

Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio.

Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.

Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.

View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd

Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].

2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;

Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;

Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.

Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.

Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.

Way to go Mr. Lissu. You got my full support on this one!
 
Kuna usemi unasema "The best way to control opposition is to lead it yourself" kama sijakosea.

Na CCM imefanya vizuri angle hii kuanzia TLP, CUF na CHADEMA
Ambacho CCM hawana ni udhibiti wa fikra, nia, ari, na nguvu za wananchi.

Tukiamua kwa umoja, ndani ya siku chache tu CCM inasalimu amri.
 
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.

Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.

Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.

Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia
masikio.

Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.

Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.

View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd

Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].

2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;

Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;

Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.

Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.

Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.

Kama hadi Mwandamizi wa Sukuma Gang umemkubali Lissu basi Lissu hana kipingamizi kukamata Dola.

Mungu azidi kumwezesha!
 
Sema sasa umeanza kwa kujieleza sana. Unajisafisha nini Ndugu Nyani?
 
45X45=2025 ❣️
1739381589024.png

X*X = XX (NOT XY) --- LADY'S YEAR!
 
Hapo changamoto itakua kushawishi vyama vingine vigomee pia ndio itakua na IMPACT kubwa..... yaani Fisiemu waende kwenye uchaguzi peke yao

Lakini ikigomea CDM pekee CCM inaweza kuwapa ACT na vyama vingine ubunge wa viti kadhaa na madiwani ikaleta picha ya CDM wamegomea kwa hofu yao tu na kiburi
 
Kama hadi Mwandamizi wa Sukuma Gang umemkubali Lissu basi Lissu hana kipingamizi kukamata Dola.

Mungu azidi kumwezesha!
Yaani miaka yote upo hapa na hujanisoma tu jinsi nilivyo [principled]?

Unless you’re trolling, otherwise you are dumber than I thought you were 🤣.

Kwa watu ambao wamenisoma na kunielewa, hakuna cha kushangaza hapo.

But, naelewa kuwa watu tuna viwango tofauti vya akili na uelewa wa mambo.

Be easy.
 
Hapo changamoto itakua kushawishi vyama vingine vigomee pia ndio itakua na IMPACT kubwa..... yaani Fisiemu waende kwenye uchaguzi peke yao

Lakini ikigomea CDM pekee CCM inaweza kuwapa ACT na vyama vingine ubunge wa viti kadhaa na madiwani ikaleta picha ya CDM wamegomea kwa hofu yao tu na kiburi
Ndio tutavijua ccm B wazi wazi na wafuasi wa Mh Mbowe.
 
Yaani miaka yote upo hapa na hujanisoma tu jinsi nilivyo [principled]?

Unless you’re trolling, otherwise you are dumber than I thought you were 🤣.

Kwa watu ambao wamenisoma na kunielewa, hakuna cha kushangaza hapo.

But, naelewa kuwa watu tuna viwango tofauti vya akili na uelewa wa mambo.

Be easy.
Usitudanganye ulikwenda na upepo wa sukuma ya Chattle.

Wewe ni Mkabila tu. Huna objective intentions
 
Back
Top Bottom