Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

The other time nilikuwa natembea kwenye pedestrian strip ikaja boda boda nusura inigonge. Pamoja na hilo mwenye boda alinimiminia matusi ya nguoni sababu ya kutokupisha kwenye barabara. Hawa jamaa wa boda inabidi wafundishwe jinsi ya kutumia barabara zilizojengwa mjini hasa kwenye maeneo yenye mwendokasi (mfano Ubungo).
 
Arusha mtu akiwa na gari zuri ana dharau kwa waenda kwa miguu balaa naumia sana siku moja nimesimama kumpisha Mzee anataka kuvuka tena Zebra jamaa alikua na 150 Prado alipiga honi balaa baadae akataka kunipita kwa kasi akakutana na Bibi anavuka akaona aibu mimi sikumwambia kitu nilijua tu gari lake linampa kiburi..
Unaweza kusimama Zebra harafu boda boda akapita kama anavuka mto kwa kasi sana na huku umewasha taa za hazard...
 
Back
Top Bottom