Swadakta siwezi kudharau watu hata siku never ever mie mtu wa kawaida mno let as be humbleAmeleta hoja ya kujenga siyo dharau au majigambo.
Amewakumbusha waendesha vyombo vya Moto wenzao kuheshimu watumiaji wa barabara wengine. Kujali maisha ya wanajamii wenzio.
Aiser mungu awatangulieJuzi kuna askari wawili wamekatishwa maisha yao kwenye haya matukio... Magari yamesimamishwa ili watembea kwa miguu wavuke...Noah imetokea ilikotokea dereva ana haraka akayavuka magari yaliyosimama mwishowe kaenda kuwagonga askari wawili ambao wote walifariki
Huu mji inawezekana watu wengi sana wanagongwa kizembe na magari ila hatufuatilii tu. Mtu hata service road hayuko salama hadi malori yanapita.
acha kunitoa kwenye reli namtafuta lissu na nchamba nijue kama kuna uhai tz ya ccm. Am still jikonyaginizing here. Na sivuki hata kwa dawa.Safi bora uishi
So KindNdio ujue umuhimu wa kusimama kwenye zebra kuruhusu watu wapite. Sijawahi kuendesha gari hata siku moja bila kupisha watu kuvuka kwenye zebra au hata sehemu ambayo haina zebra nikiona watoto au watu wazima/wazee.
Ndio mkuuMkuu ulitoka salama
Umekulia wapi?Binafsi nimeshindwa… Mara kibao nimeshavushwa na mtu anayegundua kuwa yamenishida.
WaTz ni watu wazuri.