Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Chief, Kama mna watoto huoni kama utakuwa umewakomoa!?
Watoto watalelewa tu hata na bibi au Mashangazi, ukiwaacha walelewe na huyo Mwanamke watafundishwa Umalaya na kuharibika zaidi.

Kama mama ni Malaya amefumaniwa unaaminije malezi yake kwa watoto?

Bora nusu Shari kuliko Shari kamili.
 
Kufumania ni kesi ya madai,siyo ya jinai
 
Mkuu ukiacha Ulumumba huwa sometimes una Hekima Fulani hivi... Anyway +ve na -ve Ni lazima viende Pamoja.. Hii Ni Hekima Bora Sana kwa Kipindi hiki Cha ukosefu wa maadili
 
Wanaume na Sisi tubadilike tafadhali. Wewe Mkeo humkazi ( humtombi ) vizuri ( ipasavyo ) kabisa unategemea akimpata Msimamia Ukucha hatompa Maku yake ili akunwe na akunike kisawasawa? Tujitathmini kwakweli na kwa Mwanaume Gentleman akimfumania Mkewe huwa hamdhuru Mfumaniwaji ( Jamaa ) bali atashughulika zaidi na Mkewe.

Na msisahau pia ya kwamba ni psychologically proved kuwa hakuna Mahusiano yoyote yale yasiyo na Cheating na wakati mwingine Cheating hiyo hiyo huwa ni Mbolea na Chachu Kuu ya Ubunifu wenu zaidi mkiwa Vitandani. Kikubwa ni Uvumilivu, Heshima na Umakini tu pekee.

Happy Women's Day.
 
Kabisa mkuu,hakuna kitu kigumu kwangu mimi kama kuacha mke
 
🤔🤔🤔
Mimi hata nikimkuta mwanaume anamla mke wangu kwenye kitanda changu, bado nitamuacha atoke salama, mtu hawezi kuja kwako bila ramani.
Asee, ila inahitaji moyo sana
 
Kwa hiyo wewe ukimfumania mgoni wako unamtoza faini, akishailipa unaendelea kuishi na mkeo kiroho safi!!? Huoni wala kuhisi kuwa utakuwa umewahalalishia kukutana hasa kama jamaa uliyemfumania yupo vizuri kiuchumi fedha ya faini haimsumbui?
Inatosha, hakuna haja ya kuongeza. Kupeleka watu wengi jela ni kupunguza nguvukazi uraiani, na kuiongezea mzigo serikali
 
Maku haina makombo, kuita makapi ni kuwakosea adabu wanawake. Btw Ukigundua mkeo amebeba mimba nje ya ndoa utanyamaza eti kwa kuwa ulimkuta bikra!?
Mm niliishi na nilie kuta hana bikira kwa kweli nilikua sina imani san ila kwa huyu nimeshazaa nae watoto watatu hata wakija mchakachua haiumi sana km ww ukute makapi
 
Asante kwa majibu mazuri, unasemaje sasa kuhusu adhabu ya faini inatosha!!?
Watoto watalelewa tu hata na bibi au Mashangazi, ukiwaacha walelewe na huyo Mwanamke watafundishwa Umalaya na kuharibika zaidi.

Kama mama ni Malaya amefumaniwa unaaminije malezi yake kwa watoto?

Bora nusu Shari kuliko Shari kamili.
 
Kwa hiyo wewe ukimfumania mgoni wako unamtoza faini, akishailipa unaendelea kuishi na mkeo kiroho safi!!? Huoni wala kuhisi kuwa utakuwa umewahalalishia kukutana hasa kama jamaa uliyemfumania yupo vizuri kiuchumi fedha ya faini haimsumbui?
Hata kumfunga jela hakutasaidia kuondoa ukweli kwamba mkeo alimpenda jamaa, akampa. Ni kusamehe tu
 
Hata kumfunga jela hakutasaidia kuondoa ukweli kwamba mkeo alimpenda jamaa, akampa. Ni kusamehe tu
Kwa hiyo unamaanisha hata hiyo faini iondolewe, lakini pia tambua kuwa siyo kila mmojawetu ana moyo wa kusamehe!!
 
Kwa hiyo unamaanisha hata hiyo faini iondolewe, lakini pia tambua kuwa siyo kila mmojawetu ana moyo wa kusamehe!!
Hata faini haina maana, labda iende hazina tu ikalishe wafungwa wanaokula bure
 
Ahsante kwa mawazo yako. Ila tambua kuwa wafungwa hawali bure, mbali na kufundishwa tabia njema wawapo kifungoni, pia huwa wanagharamikia chakula chao kwa kufanya kazi mbalimbali wawapo gerezani.
Hata faini haina maana, labda iende hazina tu ikalishe wafungwa wanaokula bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…