Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Kuna ukweli kiasi kikubwa katika hili.
 
IKARAHANSI isije ikawa chanzo cha kuitoa K ni wewe. Mfano humkojozi, hapo itabidi ufiche aibu yako. Hali ikiwa hivyo itabidi naye ajitae kwa jamaa
Mkuu ndoa ni kiapo cha kuishi kwa raha na shida, hakuna sehemu katika kiapo cha ndoa inasema kama mke hakojozwi aende nje ya ndoa au mume asiporidhika kwa mkewe aende nje ya ndoa bali ni tamaa tu za baadhi ya wanandoa. Kuhusu kukojozwa hiyo ni mada nyingine na inahitaji mashirikiano siyo swala la mmoja tu maana raha ya kweli inaanzia akilini.

Swali kwako, Unaona hii adhabu ya kulipa faini inatosha kwa wagoni?
 
Mkuu umenena kwa Hisia Kali japo Ni ukweli 100%. Kwa kweli tuna mitihani Sana nyakati hizi... Tunayoyaona Yanasikitisha...Mpaka unaogopa.. Nawaza kwa Nini ile Hali ya kupendana na Kujaliana imepotea?? Mpaka unatamani kuishi porini na Wamasai na wahadzabe... Hakuna kitu kinaniuma nikisoma vitabu vya zamani na kuona Jamii zilipokuwa zinaishi kwa Amani na Furaha japo kijima.. Lakini hakukua na Stress za Mapenzi Wala Migogoro issiyoeleeweka.. kila mtu alijua kufanya Sehemu yake...
 
Comments nyingi zinaonyesha wanaume hua wanaumia sana wanapogongewa wake zao. Ajabu unakuta mwanaume huyuhuyu ana michepuko huko nje, anaona kawaida tu. Ila mkewe akigongwa nje nongwa.




Tanzania nchi yangu
Chief Mbwangali (Sijajua kama ni Mwanamke au msichana) Kila mmoja inamuuma kinamna yake ila leo tunazungumzia zaidi Mwanaume. Sisi Wanaume inatuuma zaidi kwa sababu mbali ya kugongewa wake zetu pia huwa tunasingiziwa watoto jambo ambalo linapelekea kulea watoto wasiokuwa damu yetu bila kujua, kwa Mwanamke kuna unafuu maana suala la kusingiziwa mtoto haliwezekani kwa kuwa mimba anabeba mwenyewe.
 
Police akiwa patrol kasimamisha gari na kumkuta mke wake akiwa kwenye gari na jamaa ambae hamjui kabisa
Imetokea bahati mbaya tu
Mwisho akamwambia dereva unamjua huyu mdada
Akasema ndio tunajuana kimapenzi
Akaulizwa tena mmeonana mara ngapi
Akasema mara nne
Mwanamke kaegeshwa na mikono juu
Baadae polisi kamruhusu jamaa kuondoka baada ya kumwambia huyo ni mke wake na aondoke amuache hapo hapo barabarani

Mke kaambiwa ampigie mama yake simu aje kumchukua waende kubeba kila kilicho chake na ndoa imekufa

Dunia hii Ina maajabu
 
Wakuu hili swala mnaliongea juu juu sana. Kufumania mke si jambo dogo kabisa athari yake ni kubwa kuliko inavyoongelewa hapa.

Fikiria unafumania mke unajifanya nunda unamuwekea mikakati na yeye anakuwa nunda zaidi wale wa "liwalo na liwe" anakutangazia mtaani kuwa wewe ni hanisi hapo ndio utajuuuuta kumfahamu.

Aise msifikiri hao wanawake nao hawana mipango yaku solve hiyo misala.

Utasema ukauze nyumba umkimbie na yeye anaenda kukushitaki wewe na uliyemuuzia nyumba ya familia bila ruhusa yake. Kesi unashindwa pesa za watu unarudisha, mtaani tunakucheka mkeo kakuzidi ujanja, alafu kumbuka hapo kashasema wewe ni hanisi au hata shoga kabisa huku analia anasema anajuta kuolewa na wewe

Mkeo mpaka anachepuka hua ameshakuzidi huo mpambano (kama ukitokea) kwaio pambana kweli kweli ukijua si jambo dogo.
 
Hakuna hukumu itakuridhisha hata ukijichukulia hatua utaona haijatosha na utaingia matatizoni bure ikiwa ni pamoja na kupoteza muda wa kufanya mambobyako mengine ya msingi, Wapo wengi sana, unapiga chini unatafuta mwingine...!Hata ukibadilisha 100 hayo ni maisha yako binafsi.
 
Ukubwa au udogo wa jambo lolote upo juu yako.. Ukiishi kwa kuangalia jamii itakuonaje maisha yatakuwa magumu sana. Kwani kupiga chini ukaendelea na maisha mengine itakugharimu nini???

Mkuu huwezi kujitenga na jamii ukawa mzima. Kitendo tu chakuishi kivyako tayari ni tatizo.

Hapo mtaani ngoja upigwe uvumi wewe shoga ndio utaelewa sio rahisi, sembuse mke kumbuka uvumi wa mke unaaminika kuliko unavyodhani.

Utafuatwa na ndugu, jamaa na marafiki kukupa pole kama vile una msiba na hapo ndipo utakapochanganyikiwa. Achana na haya mambo Mkuu si madogo.
 
Tafuteni tuu pesa wanawake msiwaamini ,hata mimi nimeoa simuamini mwananke but sina mda wa kufumania au kutafuta mgoni

Juzi tuu hapa shemeji mke wa mtu kanipa ninyandue fasta nikala nikasepa zangu na huwa sitaki mazoea na nablock namba ,cha ajabu kaniita kwake ila nilikataa chumbani nikamkula kwenye kochi
 
Mimi sitaki maneno mengi nataka pesa tuu afu waendelee na maisha yao
 
This is fair na ukitaka uweze hapa unatakiwa uandae akili yoko kwamba anytime yanaweza kukuta so that uje kuwa na stamina yakikufika.

Mimi kumuacha bure hapana napiga picha afu nataka pesa na mke achukue
 
Nawewe ujitahidi umche Mungu ili hayo mambo yasikukute,maana siku ukifumaniwa na ukakutana na sheria imebadilika imekuwa miaka 15 badala ya kulipa faini,hapo ndio utajua kuwa shetani hana maana...
 
Nawewe ujitahidi umche Mungu ili hayo mambo yasikukute,maana siku ukifumaniwa na ukakutana na sheria imebadilika imekuwa miaka 15 badala ya kulipa faini,hapo ndio utajua kuwa shetani hana maana...
Kumcha MUNGU au kutomcha hakumfanyi mtu kuwa mzinzi wala mwema, Uzinzi unatokana na tabia ya mtu, kuna watu ni wacha MUNGU wazuri tena wengine ni viongozi wa din (mfano Mfalme Daudi) lakini wamezaa na wake za watu/waume za watu na pia kuna wapagani wana mambo meupe na yamenyooka kuliko hao wacha MUNGU. Umalaya unatokana na tabia ya kujiendekeza.
 
Ahsante kwa mawazo yako, maana ni kweli kufumania siyo jambo la mchezo, sasa unashaurije kuhusu adhabu ya kulipa faini.Inatosha au iongezwe?
 
Ahsante kwa mawazo yako, maana ni kweli kufumania siyo jambo la mchezo, sasa unashaurije kuhusu adhabu ya kulipa faini.Inatosha au iongezwe?

Mimi nafikiri hili kosa liongezwe au liweke wazi kwenye sheria zetu hasa penal code au kanuni ya adhabu kama kosa dhidi ya maadili liliwa jinai adhabu itapanda.

Lisiachwe hivi hivi kwani lima madhara makubwa sana na ni kichocheo cha makosa mengine hata makubwa kabisa ya jinai mfano karibu 70% ya kesi za mauaji chanzo ni wivu wa kimapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…