Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!



Mkuu mimi sitaki unikubali nataka uendelee hivyo hivyo kutonikubali!

Pia,Mwanamke niyekutana naye alikuwa na mtoto mgonjwa hivyo akataka msaada nikaona nimsaidie kwasababu huu mwaka wa 2024 toka uanze sijatoa msaada!
 
Huwezi kuweka hitimisho kwa kupewa story ya upande mmoja.

Wanawake wakiamua kuharibu/kumtibua mwanaume hutokwa maneno magumu wana vinywa vichafu hatari haifai kuhadithia.

Pia hao hao ni good pretender pale mambo yanapowafika shingoni! Hivyo huwezi jua kilichotokea siku anatemana na huyo mzazi mwenzie.
Pengine alitoa kauli za kishupavu kiasi cha kumchefua kamanda.

Trust me, hakuna mwanaume anaependa kutelekeza mwanae. Ila ukichafukwa ghadhabu yetu ni mbaya sana unafuta kila kitu.

Mkuu usiombe yakutokee. Wanawake wanatia maudhi na mwanaume jasiri anaamua liwalo na liwe potelea pote nakata mawasiliano period.
 
Wanawake wanamengi usipend kuwamin maneno yao kam umemsaidia nauli its oky .


Kwa cc wanaume atleast tuna make concrete reason and decision


Kwann tuwe kila siku tunawaonea huruma hawa dada zetu wakt wao wanakuw chanzo cha matatzo kwa 85%

Nazn sasa wanaume ni wakat wa cc kuonean huruma pia japo cc n providers ila tupunguze kuona kuw kila mwanAmke Alieachwa na mwanae chanzo nn cc
 
Yeye amesikiliza upande mmoja na ndio upande aliokutana nao,ulitaka aanze kuutafuta na upande wa pili? Kwani yeye ni Mahakama na anataka kutoa hukumu?

Huo upande wa pili kausikilize wewe,yeye ametoa msaada na Mungu ameona that's more tha enough.

Shida ni pale alipoweka kibwagizo cha "baba ushauri" ni kama anatublem wanaumme.

Story haijabalance. Wanawake wengi ni vichefuchefu, pengine jamaa alikanwa live mtoto/mimba siyo yake na vichambo vya kiudhalilishaji kisa kafumwa na danga jipya.
Huyo ke anajua alipojikwaa thats why mkazo wake ulikuwa kwenye kupewa nauli.
 
kwani bluetick ni kitu cha kuringia...? huo umaarufu kwani jf inalipa watu...? uwe na bluetick uwe hauna nikiona we ni expert member tupo sawa tu amna lolote acha kutafuta attention kiboya
Oya bishoo Haswaaa huyu jamaa ni nan mbona kama anataka akuoshee wakati hata hatumjui
 

Safi sana....
Wafundishe wabongo kuwa na moyo wa kusaidia...
Sio kila kitu wanaona ni utapeli...
Kuna strangers tunakutana nao ni wahanga kweli kweli....
 
Mkuu umeandika ili kumckesha na kumfurahisha Shoga Hance Mtanashati au umeandika ukiwa na akili zako timamu?
UMUGHAKA usikurupuke na kuanza matusi. Twende taratibu. Watu wa Dar hususan wa uswazi akitaka kwenda popote kwanza anafikiria nauli au Ni magari mangapi, tofauti na ninyi mliokulia huko usweken.
Toka banana Hadi 2000 Ni gari moja, toka 2000 mpaka Palestina Ni magari mawili,akili ya mzaliwa wa Dar hususan wa uswazi haiwezi kumtuma apande magari matatu na foleni ya Mandela road wakati kirahisi tu toka banana kwenda Temeke au Ilala au buguruni Ni gari moja lisilo na foleni. Au mkuu foleni ya Matumbi umeisahau.
Mwanasheria angesema umughaka. " You can't think on your feet"
 
Ulimuomba namba yake ya simu?
 
Umepigwa mzee...kubali tu..
UMEPIGWA.

Usiwe na huruma sana.

Kuna matapeli wanajua kazi yao, ukiingia tu huchomoki.
 
We jamaa Kila siku unapoteza credibility sijui kwanini
Anatafuta umaarufu wa Kijinga dogo. Watu wanamchoka. Analeta stories za facebook humu JF. Sisi wapemba tunasema "ukipasua dafu haliwezi rudi kuwa kama zamani hata iweje"
 
Dogo anatafuta sana attention. Sisi wapemba tunamtizama tu... Na kusema hewallah , tende na halua .... Ndo basi tena huyu dogo. Hakuwa hivi huko nyuma. Sasa anaandika mambo ya kufikirika mengi.
 
Huyajui ya waliolala shuka Moja Hadi wakapata mtoto then wakakimbiana/kutelekezana!

Katika saikolojia ya kawaida kama hamna changamoto yeyote mwanaume ni ngumu sana kukimbia damu yake.....ni vle umechukua dodoso upande moja lkn hujui mengi kuhus hao raia!

Kuna dada moja aliishi na jamaa Hadi wakazaa mtoto moja baadae jamaa akamkataaa binti akamtimua yule binti ukimuangalia aiseee very innocent girl, nkawa namuoneaga huruma sometimes namwachia 💸💸 kidogo! Kama zali tu Ilitokea nikamdate rafiki yake ktk Moja na mbili niligundua yule innocent girl ni shetani ktk umbile la kibinadamu
 
Yani ninunue kitu alafu nisidai Chenji? Unayemuonea huruma anaingiza hela kuliko wew msamaria mwema ...alafu tz Lia Lia wengi sana unajikuta baba huruma mwishowe wenzako wanashusha mijengo wew unabaki kutoa macho
IPP
 

Tatizo siyo mwanamke kaka,tatizo ni ile damu yako aliyoibeba inayoteseka!
 
Mkuu,
Hongera kwa kutoa msaada, hili ni jambo jema sana.

Ila tahadhari tu, usirukie conclusion kwamba chanzo ni mwanaume as huna strong evidence, umepewa tu hadithi yo upande mmoja.

Sisi wanaume tuna huruma, ni wanaume wachache sana wakaacha mke for no reason, yaani bila sababu mke aachwe/atelekezwe, hapo kuna shida. Mtu mwenyewe ameshasema "wivu wa mapenzi ", what if alifumaniwa live?

Hata hivyo, watu hatutoi msaada coz mji umejaa matapeli sana.

Vizuri umetoa msaada, conclusion ya kuwaponda wanaume siikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…