Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

Si Vizuri kutelekeza wamama,lakini siku zote by default mwanaume ni mbeba lawama ,huwezi jua kwanini alikimbiwa,labda sababu ya ujeuri wake ,ujeuri wa kulala na huyu na yule,ama uhuni wa kukamatisha mimba ya huyu unampa yule

Anyway ulifanya sadaka safi.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Haujuchukua namba yake ya simu
 
Muoe mkuu
 
Oya bishoo Haswaaa huyu jamaa ni nan mbona kama anataka akuoshee wakati hata hatumjui
aaah uyu mshamba mmoja kutoka kolomjie huko si unajua wasuKUMA tabia zao mkuu zinafanana na waSengerema
 
Acha mambo ya ajabu ww tamaa za ngono zitakucost.
Umeshindwa kusaidia wenye matatizo yanayoonekana km vilema na ombaomba unaenda toa 50k kwa kahaba/mzinzi. Badilika
 
kaka we ujajionea tu wapo wanawake wanapasua kchwa htar paka unaona kuzaa isiwe shida km mtoto akikua atakutafta sawa ila umesmea upand m1 upande wa2 ad mwanaume unaamua kupotzea mtoto na una kaz km ivo tanesco vpo vtu behind wapo wnawke pasua kupti mtoto anatak akumalze kiuchum ten km aush nae ndo kbsa
 
Kwa kile ulichoandika huenda kuna ukweli mkuu, japo kama haujawahi kukutana na madhira vyovyote unaweza sema.

Nimeshakutana na kisanga na mwanamke mmoja, sina hamu nae hata kidogo.

Mimi si mjuvi wa kuandika 'in brief' lakini, waone tu hivyo wanawake. Wapo wengine wana GUBU.
 
Well done.....brother....kuliko kutoa fungu la kumi huko kwa maparoko Bora utoe kwa mlengwa.
 
Kichwa cha habari "UMUGHAKA ATOA 50,000TSH"
 
If you are helping someone for the sake of her well being you dont need to tell. If you tell it was for your ego not for her wellbeing
 
🤣🤣unajua hata hapa kwetu kawe kuna sehemu inaitwa america sa uskute unaenda marekani hii ya kwetu afu unaTutambia
apo uskute kuna kimwali unampgia mingo humu umekuja na gia ya hyo ili umpate
Tuna screenshot hii tunaitunza.

Acha wivu na dharau kenge wewe.

Kwani mtu akisema anaenda marekani kuna nini kibaya?

Akienda akaja kuonyesha yupo huko utasemaje?

Roho mbaya tu
 
Brother, what you did was so great, awe tapeli asiwe tapeli, rest assured kwamba you did the right thing na ndio maana moyo wako una amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…