Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Hapo kwenye kuwafikiria watoto wakiwa mbali nimekuelewa sana.
 
Sad story!!! No comment
 
Mtu siku zote anakuwa sahihi hadi pale ambapo anakuwa sio sahihi,ni ngumu kutabiri tabia ya mtu watu huabadilika.

Kwa hiyo wote ambao ndio zimewashinda hawakumtanguliza Mungu au sio???
 
Mtu siku zote anakuwa sahihi hadi pale ambapo anakuwa sio sahihi,ni ngumu kutabiri tabia ya mtu watu huabadilika.

Kwa hiyo wote ambao ndio zimewashinda hawakumtanguliza Mungu au sio???
Swali lako linahitaji ufafanuzi mrefu sana.. Kifupi niseme tu hao ambao ndoa zimewashinda walibahatisha..
 
Hu
Naweza kumpata huyo mtaalam wa kutia gundu nina kazi nae mhm sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…