Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

Mbona hukumsaidia?!
 
Hiyo ipo mbona Kuna mmoja alikua around 17-19, black beauty flan hivi wa ukweli.kuna dei akaenda kwa bibi(mganga)kumwambia amsaidie mana hajawahi kutongozwa tangu azaliwe hadi anamaliza form 4.(niliambiwa hili na mjukuu wa bibi alikua mwanangu).
Tulishangaa ila bibi alisababishaga yule binti aliolewa kabisa.It was 2014
 
Uongo, una evidence gani hajatongozwa?
 
Kwani watu bado wanatongozana ?
 
Kwa kweli kuna watu wana changamoto aiseee. mtu anaweza vipi kuishi bila kuambiwa nakupenda.
Sio mtu mkuu, mwanamke. Mwanaume inawezekana vizuri tu.

Ila mwanamke kutotongozwa aisee inaleta ukakasi na wanakuaga na mawazo sana..

Ila sometimes pia sio kitu kibaya ni vile wewe umejiweka. Ukiwa mvaa hovyo hata uwe na sura mbovu namna gani utatongozwa kila leo maana kila mtu atahisi wewe ni cheap na mpenda pesa tu. Ukiwa unavaq kwa staha utapunguza mitongozo, wanaume wengi watakugwaya na wengine hawatakutaman haraka.

Hilo huyo wa 30yrs kuna tatizo mahala.
 
Alizidisha chumvi kwa huyo Ustadh ili apewe dawa yenge nguvu kubwa.
Najua huwezi amini ila nachokwambia ni uhalisia.

Mamangu afe kesho kama nimedanganya, nilichokwambia ndio nilichokisikia ndio maana ile sauti bado naiskia toka saa 6 mchama nimeona hilo tukio. Hata mm nilibaki najiuiza inawezekana vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…