Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine


Ukiona maovu yaondoe kwa mkono wako, ukishindwa yakemee kwa mdomo, ukishindwa yachukie kwa nafsi yako.
Acha porojo is kijana
Umeshafagia uwanja hapo kwa shemeji yako
 
🤒 Dah faza House ndo umeona uje unianike na huku.
Anyway weekend ntasepa zangu.
 
Kumbe ni wewe!

Vijumba vyenyeww hata mbwa hawezi lala!
 
Mkuu mbona hujaweka kapicha ka hiyo nyumba?
Si unajua tena humu jukwaani kumejaa akina Thomaso tutaaminije kama una nyumba ya kupangisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…