Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Ungemuonya Kwanza kwakuwa ww Una sauti.. lakini pia vipengele vingine uweke kwenye mkataba maana unaweza gombana na Watu wengine unavunjaje mkataba WA mpangaji kinyemela hivo
 
Kijana wa Hovyo Mjini.
 
Audio ipo wapi? Leta ushahidi
 
Ukizubaa ka una msichana (mwanao/house girls) anapita nayeee ...... mama mwenye nyumba mmmmhhh
 
Kweli hili ni gubu la mwenye nyumba. Huku ni kuingilia maisha binafsi ya watu. Na si wapangaji wote wanaopanga hawana nyumba. Wapo wanaopanga na wana wapangaji pia.

Ipo siku watakeleka na viungo watakuoigia simu. Muelekeze mwamba watu wake wapunguze makelele ingawa ni ngumu na huwezi kupangia nani aingie naye. Vinginevyo waambie madalali wakuletee wapangaji wanandoa na viongozi wa dini
 
Du! kweli shetani yuko kazini
 
Ungechelewa angepita na mkeo
 
Nipe namba yake Hawa nawapenda ana wapange kwangu
 
Usiku wa manane chochote utakachofanya chini ya decibel 20 kitasikika kwa sauti ya juu.. ni usumbufu kusikia sauti za wapenzi wakifanya mapenzi tena kwa sauti ya juu
Hilo n tatizooo la mwenye nyumba ukitrnganisha vizuri huwezi sikia makelele
 
Umemuonea bure.....Wacha Kijana aukunjue Mwili..Hao wapangaji hawajalala Mpaka usiku wa Manane? Maana kama mtu amelala, hawezi kusikia hizo kelele.
 
Uyo aliyekupa huo umbea kama ni mwanaume ajitafakari sana ni either ana hormone za kike ns kama ni mwanamke basi ana wivu anataka akagongwe yeye
 
Sauti na miguno ilikuwa tofauti tofauti.
 
landlord kumbe na ww upo Jamii forum
 

Hakuna mtu aliyestaarabika anayeweza kufanya huo ujinga, Fukizia mbali Kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…