Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulikua hakuna ulazima wa kumtimua,Nimetuma ushahidi wa niliyotumiwa naye akakiri ni kweli kesi ikaisha hivyo
Wee ndio ulikosea kujenga nyumba karibu karibu wakati unajua watu wanagegedana bwana weweNina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Si unamwambia tu mkuu,wewe mweleze ataelewa kumfukuza tena ghafla.Usiku wa manane chochote utakachofanya chini ya decibel 20 kitasikika kwa sauti ya juu.. ni usumbufu kusikia sauti za wapenzi wakifanya mapenzi tena kwa sauti ya juu
gesti kivipi? kwani hapo jamaa alikua anaka bure?Safi sana.akafanye gesti ujinga wake.
Ni Africa tu ndio huo ujinga upoNdiomaana Kuna nyumba zingine kama huna familia hupati pango
hao majamaa ni wanafiki sanaAcha wivu we Mzee, umejuaje kama ni wanawake tofauti?. Kwahio kijana asinyoshe mgongo nyie ndio wenye nyumba wakuda ambao mnasema aje akutambulishe mwanamke mmoja, wakiachana Je?.
Pangisha walio oa na kuolewa basi, vinginevyo kamata Kodi yako tulia, vijana wafanye yao.
Ngoja siku moja, huyo anaekuletea taarifa amtie mimba binti yako, ndio utamkumbuka huyo aliekua anatoa magoma mbali.
Fukuza huyo aliye kutumia ushahidi wa audio au video.Nimetuma ushahidi wa niliyotumiwa naye akakiri ni kweli kesi ikaisha hivyo
Hata gest houses zipo hauingii na mwanamke bila cheti Cha ndoaNi Africa tu ndio huo ujinga upo
Hata mm nakufukuza aiseeAcha wivu mzee.
Umekurupuka...sio sahihi
kuingilia faragha ya wapangaji wako
kufanya mapenz ni uhuni ? watu weusi ndio maana mnaitwa nyan, inakuwa uhuni akifany mingine ila ukifanya ww sio uhuniWahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
Umefanya la maana sana baba mwenye nyumba nakuunga mkono na mguuSiishi nao hao wapangaji wameniletea malalamiko tu kwakweli ni kero siku saba saba kila siku kelele mpya we kuweza?
guest ipi hiyo Tz ? hv unafiku unawasaidia nini ? mtu yupo ndan kwake kakulipa kodi , tena anafanya usiku , ww hulali unasikiliza yanayoendelea kwa jirani yako , kama sio uchawi ni nini ?Hata gest houses zipo hauingii na mwanamke bila cheti Cha ndoa