Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.

Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.

sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.

Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.

Nazima simu.
Wee ndio ulikosea kujenga nyumba karibu karibu wakati unajua watu wanagegedana bwana wewe
 
Acha wivu we Mzee, umejuaje kama ni wanawake tofauti?. Kwahio kijana asinyoshe mgongo nyie ndio wenye nyumba wakuda ambao mnasema aje akutambulishe mwanamke mmoja, wakiachana Je?.

Pangisha walio oa na kuolewa basi, vinginevyo kamata Kodi yako tulia, vijana wafanye yao.

Ngoja siku moja, huyo anaekuletea taarifa amtie mimba binti yako, ndio utamkumbuka huyo aliekua anatoa magoma mbali.
hao majamaa ni wanafiki sana
mpaka night kali wako macho wanasubiri mkali apige game wasikilizie milio
 
Back
Top Bottom