Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKuu sina shida kabisa na wapangaji hawa maana siishi nao sehemu moja, nyumba nimejenga mwenyewe sio za kurithi jambo jambo lililonifanya kufikia uamuzi huu ni mpangaji huyu kuwa kero kwa wenzake licha ya wenzake kuzungumza naye mara kwa mara na yeye kukataa kuenenda kwa ustaraabu wa mahali hapo sijawahi fika kwenye hizo toka mwaka huu unaanza tunawasiliana tu kwa simu na kusoma miamala ya benki.Tatizo hili utakutana nalo zaidi kwa wamiliki wa nyumba za kurithi haswa mikoa ya pwani na wengi wao ni wenyeji wa mikoa ya kusini Mtwara na LIndi. Unakuta anaishi around kwenye hio nyumba ya wapangaji na kula yake inategemea hizo kodi.
Mtu mwenye uwezo wa kumiliki kijiji cha apartments huwezi kukuta ana michongo ya kufuatilia wapangaji.
😂😂😂😂😂🤣🤣Vijana wa ovyo hawakubalig ushauri
Ww inawezekana nyuma umepata hela kwenye zinaa acha mzunguko ukamilikeKodi haitoshi kukuachia uhuru ufanye Kila unaloona kwako linafaa, nyumba sijaijenga kwa ajili ya kufanyia uzinifu, maadili yazingatiwe
Jamani jamani 😂😂😂Wengine wanakumbuka na marejesho humohumo kilio kinakuwa kikubwa 🤣🤣🤣
Hawana kazi yakufanya kwa wenza wao!Wakati unasikiliza hizo voice note ulijihisi vp, Isije ukawa ulilowa 💦
Acha ujinga We kenge ...Issue ni kuoa ama ishu ni audio wakati wa tendo?..What if kama kaoa ila wakati wa tendo wana vibe kali la kutoa sauti utasemaje tena..naomba nikushauri haya yafuatayo wewe na hao maboya wenzako(wapangaji)..Wahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
Watu wa hivyo hata utunzaji wa nyumba ni matatizo sana.Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
Sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo Dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
Hapo siyo nyumbani kwako ni nyumbani kwakeWahuni siwataki nyumbani kwangu kama hutaki kuoa baki single au ishi na mwanamke mmoja kwa uadilifu. Wahuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa kijana wa humu JF maana ndio mashababi wa kupiga bao 5 mpaka 8,kula kimasihara na kudaka dada/wanawake mbalimbali
Ila shangazi umechangamka mnoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nani anamuona
Aende akapige kelele huko asisumbue watu Kuna watoto usiku hawalali utashangaa siku vitoto hapo mtaani vinaanza kulia liankimahaba[emoji3]
Mm naheshimu uhuru wangu na watu wengine shughuli zangu na baby wangu tunamalizia maeneo tnayoona nitajiachia sio kwenye nyumba za watu na km ikiwa but Kwa adabu na heshima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati unasikiliza hizo voice note ulijihisi vp, Isije ukawa ulilowa [emoji97]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiAlafu wanajiona wajuzi kumbe wehu tu[emoji1787][emoji1787]
Naunga mkono hoja.Tatizo hili utakutana nalo zaidi kwa wamiliki wa nyumba za kurithi haswa mikoa ya pwani na wengi wao ni wenyeji wa mikoa ya kusini Mtwara na LIndi. Unakuta anaishi around kwenye hio nyumba ya wapangaji na kula yake inategemea hizo kodi.
Mtu mwenye uwezo wa kumiliki kijiji cha apartments huwezi kukuta ana michongo ya kufuatilia wapangaji.
Kama wote mabachela hamna tatizo ila kama kuna watoto upo sahihiNina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.