Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mpuuzi tuu, % ya comments wanalalamika jamaa ana ngonjera sana ila jamaa haelew anajiona taikon Kumbe n takoni.Na hapo jamaa anajiita taikuni wa fasihi...

Unaadika ujinga tu hapaMpo salama Wakuu!
Leo acheni tuu! Msinione nimekuja nimenyong'onyea. Mambo niliyokutana nayo yanaumiza Sana.
Mara ya mwisho kulia machozi ni kwenye Msiba wa Bibi Yangu Kipenzi. Mwaka Juzi yaani miaka miwili iliyopita.
Mimi ni wale wanaume tunaoamini Mwanaume hapaswi kulia. Na ikitokea Amelia basi ujue ni tukio kubwa sana. Ameumia Sana.
Lakini Leo bila kuamini, bila kujua, nikashindwa kujizuia. Nilijikuta Nalia Mimi.
Kwanza nimemkuta mwanaume mmoja akiwa anacheza pekeake barabarani, huku anajichetua. Anajichetua, anabenjuka kisha anajichekesha akiona cheko haliji anajikenuisha Meno nje mashavu yametuna.
Huyu ni nani?
Watu wanamshangaa wengine wakimtupia maneno ya dhihaka lakini yeye mwenyewe hajali machoni lakini rohoni anajisikia vibaya.
Punde akili Yangu ikastaki, NI yeye! Ndio nilimkumbuka. Ni eye mwenyewe.
Huyu si Mwandambo huyu?
Kwanza moyo wangu ulishikwa ganzi, mdomo ulibaki wazi, sikuamini! Sikuwa na sababu ya kuamini.
Nachoka Mimi nachoka.
Nachoka Mimi nachoka.
Dede dede! Dede dede
Mamaa! Moyoni nikasema Mungu wangu hii ni nini tena.
Nikashangaa machozi yanatoka. Hee! Mtibeli unafanya nini?
Huwezi amini ati nilijikuta Nalia kwa kwikwi.
Sasa nikaanza kujitetea nafsini, akili Yangu moja ikiiambia akili nyingine kwa nini nalia kwa kwikwi.
Unajua nini? Huyu Mzee alibeba Imani kwa waliomuona huko mtandaoni. Kuibuka kwake kulikuwa nyongeza muhimu katika njia ya matumaini ya ukombozi.
Vijana, wanawake, watoto, na wazee walianza kumpa mioyo yao.
Ni wanaume wachache wa umri wake waliojitoa kimasomaso kujitokeza kuwapa ari wanaharakati.
Akili nyingine ikaniambia, sasa nini kimetokea? Mbona anacheza hapa kama mwehu? Unahakika ni yeye au umemfananisha?
Usiseme hivyo Mosley! (Mara nyingi Mtibeli anapokuwa katika mabishano ya kinafsi akili moja Ile akili ya kikafiri anaitambua kwa jina Mosley)
Huku Ile akili yenye mambo chanya nikiita Teruso. Kumaanisha ndani ya nafsi Yangu, mtibeli amegawanyika kwa ndani kwa Jina la Mosley na Teruso.
Tuendelee;
Nikamwambia Mosley, nyamaza! Wewe hujui kitu. Mwaka Jana nilienda Moshi kwa Mama, nilishangaa mama Yangu akinukuu kauli ya Mwandambo, nachoka miye nachoka, nachoma miye nachoka.
Pia nilienda Morogoro kwa Mama Mkubwa, nikakuta hali iko hivyohivyo.
Baada ya uchaguzi nilikuwa Kahama nako nikakuta kauli ya mwandambo.
Wewe utaniambia Mosley huoni kinachoniliza?
Mosley akatulia, kisha akanisogelea zaidi humohumo Akilini akaniambia, wewe ni mpumbavu! Mjinga! Mjinga wa mwisho kabisa. Bora ungekuwa hata mjinga wa Kwanza.
Nikamwambia, watu walimwamini Sana. Walimpenda.
Hujui tuu! Huwezi kunielewa.
Kisha mawazo Yangu yakahamia machoni tena, nikamwona Mwandambo akijishika tumbo alafu ananyanyua mguu mmoja alafu anaanza kukatika,
Nyanyanya! Nyakunyaku nyaku!
Kisha anajishika tumbo lake huku akiendelea kukatika huku sura yake akiikunja na kukenua Hali inayofanya aonekane kama amekula Limao hivi au pengine ndimu za handeni.
Muone! Tazama Mosley! Unamuona?
Mosley akanijibu, kwani anawatoto au familia?
Mosley linakuwaga na maswali katili Sana. Hali inayonifanya nilie nilie! Kwikwi inakomesho.
Unajua nini?
Najua hujui
Ila katika vitu nakuombea kwa Mungu ndugu msomaji usije ukakutana na Mwandambo lazima chozi likutoke. Utasononeka Sana.
Sasa jamaa mmoja akaniambia, yupo huko mitandaoni huko Facebook. Nikamwambia na huko anafanya hivi?
Nikiwa napenga kamasi jepesi la maombolezo, hakutaka kunijibu alichofanya alinisogezea usoni simu yake na hapo ndipo macho Yangu yalishindwa sasa kukataa na kuzuia machozi tena.
Nililia! Nililia mimi! Sijui kama nitalia kama nilivyolia. Daah!
Niliondoka pale bila kujua.
Nikatembea nisijue nilikuwa naburuzika, napaa au natambaa, nilijikuta nipo mtaa wa tatu napigiwa kelele wewe mjinga wewe utagongwa wewe. Unataka utuchafulia Barabara hapa.
Daah! Nachoka mimi.
Nimemaliza ila machozi kwa muda huu sina. Yamekauka. Na kwa jinsi nilivyolia kule kwa mwandambo mpaka machozi yajikusanye hapa itachukua miaka.
Nduki!
Mtibeli katika moja na Mbili
Nimemkanya sana kuanzia fb hadi huku, ye inaonesha anapenda sana uandishi na kujaza paraghraph aonekane kajaza warakaWw jamaa una mada ndefu sana kiasi kwamba anayesoma anafikia point hajui anasoma nn, mbaya zaidi una maneno mengi mengine hayana msingi wowote wa kuyaweka.
Jaribu kupunguza ngonjera ili anayesoma asipate tabu kukuelewa, mana humo humo unachanganya kila kitu.
Jamaa anadhani kuongea Sana Ndo kuonekana anajua mengi 😂Nimemkanya sana kuanzia fb hadi huku, ye inaonesha anapenda sana uandishi na kujaza paraghraph aonekane kajaza waraka
Amehojiwa na media amedai kwamba alikuwa anaisikia Serikali kiukweli amekutana nayo na ameishuhudia makali yake na Hana hamu tena .Mpo salama Wakuu!
Leo acheni tuu! Msinione nimekuja nimenyong'onyea. Mambo niliyokutana nayo yanaumiza Sana.
Mara ya mwisho kulia machozi ni kwenye Msiba wa Bibi Yangu Kipenzi. Mwaka Juzi yaani miaka miwili iliyopita.
Mimi ni wale wanaume tunaoamini Mwanaume hapaswi kulia. Na ikitokea Amelia basi ujue ni tukio kubwa sana. Ameumia Sana.
Lakini Leo bila kuamini, bila kujua, nikashindwa kujizuia. Nilijikuta Nalia Mimi.
Kwanza nimemkuta mwanaume mmoja akiwa anacheza pekeake barabarani, huku anajichetua. Anajichetua, anabenjuka kisha anajichekesha akiona cheko haliji anajikenuisha Meno nje mashavu yametuna.
Huyu ni nani?
Watu wanamshangaa wengine wakimtupia maneno ya dhihaka lakini yeye mwenyewe hajali machoni lakini rohoni anajisikia vibaya.
Punde akili Yangu ikastaki, NI yeye! Ndio nilimkumbuka. Ni eye mwenyewe.
Huyu si Mwandambo huyu?
Kwanza moyo wangu ulishikwa ganzi, mdomo ulibaki wazi, sikuamini! Sikuwa na sababu ya kuamini.
Nachoka Mimi nachoka.
Nachoka Mimi nachoka.
Dede dede! Dede dede
Mamaa! Moyoni nikasema Mungu wangu hii ni nini tena.
Nikashangaa machozi yanatoka. Hee! Mtibeli unafanya nini?
Huwezi amini ati nilijikuta Nalia kwa kwikwi.
Sasa nikaanza kujitetea nafsini, akili Yangu moja ikiiambia akili nyingine kwa nini nalia kwa kwikwi.
Unajua nini? Huyu Mzee alibeba Imani kwa waliomuona huko mtandaoni. Kuibuka kwake kulikuwa nyongeza muhimu katika njia ya matumaini ya ukombozi.
Vijana, wanawake, watoto, na wazee walianza kumpa mioyo yao.
Ni wanaume wachache wa umri wake waliojitoa kimasomaso kujitokeza kuwapa ari wanaharakati.
Akili nyingine ikaniambia, sasa nini kimetokea? Mbona anacheza hapa kama mwehu? Unahakika ni yeye au umemfananisha?
Usiseme hivyo Mosley! (Mara nyingi Mtibeli anapokuwa katika mabishano ya kinafsi akili moja Ile akili ya kikafiri anaitambua kwa jina Mosley)
Huku Ile akili yenye mambo chanya nikiita Teruso. Kumaanisha ndani ya nafsi Yangu, mtibeli amegawanyika kwa ndani kwa Jina la Mosley na Teruso.
Tuendelee;
Nikamwambia Mosley, nyamaza! Wewe hujui kitu. Mwaka Jana nilienda Moshi kwa Mama, nilishangaa mama Yangu akinukuu kauli ya Mwandambo, nachoka miye nachoka, nachoma miye nachoka.
Pia nilienda Morogoro kwa Mama Mkubwa, nikakuta hali iko hivyohivyo.
Baada ya uchaguzi nilikuwa Kahama nako nikakuta kauli ya mwandambo.
Wewe utaniambia Mosley huoni kinachoniliza?
Mosley akatulia, kisha akanisogelea zaidi humohumo Akilini akaniambia, wewe ni mpumbavu! Mjinga! Mjinga wa mwisho kabisa. Bora ungekuwa hata mjinga wa Kwanza.
Nikamwambia, watu walimwamini Sana. Walimpenda.
Hujui tuu! Huwezi kunielewa.
Kisha mawazo Yangu yakahamia machoni tena, nikamwona Mwandambo akijishika tumbo alafu ananyanyua mguu mmoja alafu anaanza kukatika,
Nyanyanya! Nyakunyaku nyaku!
Kisha anajishika tumbo lake huku akiendelea kukatika huku sura yake akiikunja na kukenua Hali inayofanya aonekane kama amekula Limao hivi au pengine ndimu za handeni.
Muone! Tazama Mosley! Unamuona?
Mosley akanijibu, kwani anawatoto au familia?
Mosley linakuwaga na maswali katili Sana. Hali inayonifanya nilie nilie! Kwikwi inakomesho.
Unajua nini?
Najua hujui
Ila katika vitu nakuombea kwa Mungu ndugu msomaji usije ukakutana na Mwandambo lazima chozi likutoke. Utasononeka Sana.
Sasa jamaa mmoja akaniambia, yupo huko mitandaoni huko Facebook. Nikamwambia na huko anafanya hivi?
Nikiwa napenga kamasi jepesi la maombolezo, hakutaka kunijibu alichofanya alinisogezea usoni simu yake na hapo ndipo macho Yangu yalishindwa sasa kukataa na kuzuia machozi tena.
Nililia! Nililia mimi! Sijui kama nitalia kama nilivyolia. Daah!
Niliondoka pale bila kujua.
Nikatembea nisijue nilikuwa naburuzika, napaa au natambaa, nilijikuta nipo mtaa wa tatu napigiwa kelele wewe mjinga wewe utagongwa wewe. Unataka utuchafulia Barabara hapa.
Daah! Nachoka mimi.
Nimemaliza ila machozi kwa muda huu sina. Yamekauka. Na kwa jinsi nilivyolia kule kwa mwandambo mpaka machozi yajikusanye hapa itachukua miaka.
Nduki!
Mtibeli katika moja na Mbili
Ni kama vile mtu akuambie "hueleweki" ni tusi kubwa Kuna kia ambacho hakieleweki kulingana na mkao 😆😆😃😀🤭
Ukisema anacheza cheza. Unanitonesha.
Unajua kwa umri kwa mwandambo, mwanaume kusema anacheza cheza ni tusi kubwa sana
Tena kwa Mkupuo mpaka hatuelewiYou have talked too much without saying anything.
😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂 Leo mumemtolea uvivu