Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Unaadika ujinga tu hapa

USSR
 
We jamaa ulitakiwa uajiriwe ofisi za wapuuzi wa ccm!!. Mwenye akili timamu hawezi kuandika ushudu huu .takataka..
 
Nimemkanya sana kuanzia fb hadi huku, ye inaonesha anapenda sana uandishi na kujaza paraghraph aonekane kajaza waraka
 
Huyo mzee anguko lake ni kipindi kakamatwa na kutupwa central police,naskia akachimbwa biti kwa kuminywa mapumbu na mafwele akamuonya asizungumzie politics tena la sihivyo
 
Una machozi ya kuchezea ila pole Kwa kilio.
 
Ungetuwekea hata ka picha au video clip yake na sisi tuanze kumlilia!
 
Amehojiwa na media amedai kwamba alikuwa anaisikia Serikali kiukweli amekutana nayo na ameishuhudia makali yake na Hana hamu tena .
 
Hadithi yako inaonekana ni ya kufikirika tu kwani haina specificities zozote, jambo ambalo ni la kawaida sana kwa watanzania: maneno mingi, zero substance. Ila kuna element ambayo mimi imenigusa kwa vile nilikuwa na rafiki yangu Nyakuwa Nyakitita akiwa mhadhiri wa DIT alikumbwa na changamoto inayofanana na unayosema, hadi leo sijui aliishia wapi. Miaka ya 70 nyumbani kwao walikuwa wanajiweza sana kiuchumi huyko Tarime.
 
Heading ni ya mahuzuniko ila ndani maelezo yamejaa mbwembwe kibao mpaka wasomaji tunapata mixed feelings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…