Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Hii vipi.
Hujasoma lakini imekusikitisha sana.
 
Fikiria mtu kutwa nzima anavuja jasho halafu aje akutane na haya manyuzi marefu yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Hatari sana. Mzee anahitaji kusaidiwa
Huyo ndiyo basi tena ,hawezi kurudi normal ,sirikali ni hatari ebu mfatilie jamaa mmoja anaitwa Deogratius Kisandu alivyokuwa mwanzoni NCCR/CHADEMA alivyokuwa hatari kama kina Zitto/Mnyika/Heche lakini baada ya kufungwa alivyorudi dishi likawa limeyumba mpaka leo hajakaa sawa.

 
Mtu akiandika kwa haraka haraka na kwa ufupi anashambuliwa anye maji atulie na aandike stori yote
Wakiletewa gazeti, pia wanalalamika kuwa umeandika ujinga mwingi
Wabongo hamjui mnataka nini

Mara nyingi ni watu wenye upeo Mdogo na wanaojihusisha na mambo wasiyo na interest wala hobby nayo. Ndio hiyo unaita hawajui nini wanataka.

Ukishawajua wabongo hawawezi kukusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…