Leo nimenusurika kutapeliwa na madalali wawili tofauti, kuweni makini!

Mwaka jana Oktoba nilitaka kupanga Mbezi Beach Makonde (ile ya Juu) karibu na Kanisa Katoliki, kulikuwa na apartment nyinginyingi mpya; kila moja ina chumba kimoja (self contained), sebule, jiko na choo cha public. Na kwenye kila ki-gate mnakuwa wawili.

Ilikuwa 250,000/- kwa mwezi, mwenye nyumba akanipunguzia mpaka 200,000/- na nilipaswa kulipia miezi sita. Nikatumiwa akaunti namba ili niweke 1.2M (miezi sita nje ya dalali) then ataniletea mkataba.

Baadaye rafiki yangu mmoja akanisanua, ninawekaje hela kwenye akaunti ya mtu simjui! Nikamwambia aje tukutane kwenye nyumba nimpe cash anipe na ufunguo kabisa nihamie.

Kuanzia hapo si dalali wala mwenye nyumba alipokea simu. Nikahisi walikuwa matapeli.
 
Issue za madalali mizinguo mingi ndio maana kuna watu awahitaji kabisa mambo ya udalali kwenye nyumba au vitu vyao

wengi matapeli hapa mwanza usagara wameuza nyumba wakamtapeli mzee mwenye nyumba yake hela hakupata ata senti shoo yake sasa waliipata sawa sawa walikuwa wanne waliisha mmoja mmoja

wote chini [emoji15] kila mmoja kwa muda wake . Wakuu hadi ikafika mahara madalali wakaiogopa kazi yao mtu unamjuwa kabisa ni dalali ukimfata anakwambia mi sio dalali[emoji23][emoji23][emoji23]
Changamoto inatokea pale wenye nyumba wengi hawapangishi nyumba zao bila dalali, na wachache sana ambao hawataki kusikia madalali, ukienda mwenyewe biashara hakuna
 
Lkn mkuu Ni lzm upange mbezi beach? mbna Kuna .maeneo mengi tu yapo fresh kwa Kodi ya laki 400k na 350 k pako vzr tu

Sioni sababu ya kujazana mbezi beach ama hapo nenda bunju na mabwepande
Inategemea na urahisi wa kufikia shughuli zako Mkuu, mfano mishe zako unapiga msasani au mikocheni kukaa sehemu kama Bunju au Mwabepande ni gharama mara mbili tofauti na ukiwa karibu
 
Mwaka jana Oktoba nilitaka kupanga Mbezi Beach Makonde (ile ya Juu) karibu na Kanisa Katoliki, kulikuwa na apartment nyinginyingi mpya; kila moja ina chumba kimoja (self contained), sebule, jiko na choo cha public. Na kwenye kila ki-gate mnakuwa wawili.

Ilikuwa 250,000/- kwa mwezi, mwenye nyumba akanipunguzia mpaka 200,000/- na nilipaswa kulipia miezi sita. Nikatumiwa akaunti namba ili niweke 1.2M (miezi sita nje ya dalali) then ataniletea mkataba.

Baadaye rafiki yangu mmoja akanisanua, ninawekaje hela kwenye akaunti ya mtu simjui! Nikamwambia aje tukutane kwenye nyumba nimpe cash anipe na ufunguo kabisa nihamie.

Kuanzia hapo si dalali wala mwenye nyumba alipokea simu. Nikahisi walikuwa matapeli.
Kwa nilivyosikia sikia baada ya ishu hiyo jana, ni kama kuna ka syndicate ka kufanya utapeli huu wa udalali kwenye kupangisha nyumba, na kinaendeshwa na mwanamke ambae ndio tapeli wa kutupwa... sasa sijui kama ni kweli au lah... mamlaka ifanye jambo kwenye hili maana watu wanalizwa
 
Issue za madalali mizinguo mingi ndio maana kuna watu awahitaji kabisa mambo ya udalali kwenye nyumba au vitu vyao

wengi matapeli hapa mwanza usagara wameuza nyumba wakamtapeli mzee mwenye nyumba yake hela hakupata ata senti shoo yake sasa waliipata sawa sawa walikuwa wanne waliisha mmoja mmoja

wote chini [emoji15] kila mmoja kwa muda wake . Wakuu hadi ikafika mahara madalali wakaiogopa kazi yao mtu unamjuwa kabisa ni dalali ukimfata anakwambia mi sio dalali[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe unaishi Usagara, weekend hii tukutane hapo Mlimani Pub tupige mbili tatu
 
Kwa nilivyosikia sikia baada ya ishu hiyo jana, ni kama kuna ka syndicate ka kufanya utapeli huu wa udalali kwenye kupangisha nyumba, na kinaendeshwa na mwanamke ambae ndio tapeli wa kutupwa... sasa sijui kama ni kweli au lah... mamlaka ifanye jambo kwenye hili maana watu wanalizwa
Hata mimi niliambiwa mwenye nyumba ni mwanamke, na ndiyo niliongea naye.
 
Back
Top Bottom