totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 369
- 1,106
Safi sanaa na iwe Fundisho kwa wengineIssue za madalali mizinguo mingi ndio maana kuna watu awahitaji kabisa mambo ya udalali kwenye nyumba au vitu vyao
wengi matapeli hapa mwanza usagara wameuza nyumba wakamtapeli mzee mwenye nyumba yake hela hakupata ata senti shoo yake sasa waliipata sawa sawa walikuwa wanne waliisha mmoja mmoja
wote chini [emoji15] kila mmoja kwa muda wake . Wakuu hadi ikafika mahara madalali wakaiogopa kazi yao mtu unamjuwa kabisa ni dalali ukimfata anakwambia mi sio dalali[emoji23][emoji23][emoji23]