Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
Mchokozi tu weweAahh sio kweli bhana!!!...vina muda basi!....tutaona kama utaacha kupiga nyeto!!! [emoji23]
Teh teh tehMchokozi tu wewe
Mambo mengine hata kama tunatumia fake ID tujitahidi kuficha udhaifu wetu mbele za watu. Mtu kaandika maamuzi yake wewe unakuja kuandika upupu wako. Kuwa basi nawe.Aahh sio kweli bhana!!!...vina muda basi!....tutaona kama utaacha kupiga nyeto!!! [emoji23]
Usinichoshe!Mambo mengine hata kama tunatumia fake ID tujitahidi kuficha udhaifu wetu mbele za watu. Mtu kaandika maamuzi yake wewe unakuja kuandika upupu wako. Kuwa basi nawe.
Habarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Bwana Yesu asifiwe mtumishi. Karibu sana kundini.Habarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
umkabidhi maisha mwanaume mwenzio! tafuta kwa jasho lakoHabarini ndugu zangu,