sinyaghile
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 270
- 381
Hongera sana kwa hatua hii Mungu akukuze siku hadi sikuHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana