Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

Kumpokea Yesu ni kitu kimoja, kutembea kwenye njia yake ndio kitu Cha muhimu zaidi baada ya kumpokea, otherwise utakuja anzisha Uzi mwingine hapa useme wokovu kumbe ni ubabaishaji hauna kitu, soma biblia Kila siku at least sura Moja, na pata muda wa kuomba hata 30 minutes everyday.
otherwise that is by far the best decision of your life
 
Mmmhhh...vina muda basi!!!
 
Kaza buti na wala sio swala la kupongezwa
Kwa hongera Kwani Mungu huangalia mwisho wa jambo zaidi na wala si Mwanzo tu!

Hudhuria ibada, mikesha, seminar, mikutano ya Injili, Soma Biblia, jifunze, tumika shambani mwa Bwana n.k

Udumu ktk kuyafanya hao utakua kiroho.
 
Mmmh..vina muda basi!!!! [emoji23]
 
Kuokoka umeokoka na nini!?

...Kwani ulilazimishwa kuwa mdhabi😂😂😂
 
Habarini ndugu zangu,

Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.

Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.

Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.

Mbarikiwe Sana
Hongera sana Mungu azidi kukupigania Amen
 
Back
Top Bottom