AMEN Mungu akujaalie maisha marefu afya njema ndani ya wokovu... Jitahidi kuhudhuria ibada angalau 2 za katikati ya wiki na ile ya jumapil bilakukosa... Jitahid kusali kilasiku bilakukosa asubuh unapo amka, mchana popote pale utakapokuwepo angalau kwa dk 1 na usiku unapokaribia kulala... Jitahid sana kusoma Biblia kilasiku bilakukosa... Epuka kukaa na watu wanaokubeza na kukukatisha tamaa, sikiliza vipindi vya dini.... Mungu asikupungukie uishi ktk yeye... Hakika utaona baraka za Mungu ktk maisha yako... HONGERA