Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

Hongera sana kwa hatua hii Mungu akukuze siku hadi siku
 
Ila ujue hizi imani ni za kizungu. Mababu zetu hawakumjua Yesu wala mambo ya kuokoka.
 
Hawa watu sio kabisa tena ni kijana na wokovu!!!, mmmhh!


Hapo najua pisi zote mtaani kamaliza ameenda na kanisani kuwatafuta wapya tena aendeleze kuchakata tu mbususu.

Hawa vijana hawa, wana mbingu yao kabisa.
 
Waman yab'taghi ghairal islaami diina, falan yuq'bala minhu ,wa hua fil Aakhirati minal Khaasiriin
 
Ni uamuzi wa juu kabisa,na uliobora kwa mwanadamu yeyote aliyoko chini ya jua.
 
ubarikiwe sana
 
Tupe mistari ya wimbo:

Utanitambuaje kama Nimeokoka
 
Ni safar ndefu sana usikate Tamaa.........
 
Glory to God...
 
Hongera kwa kuokoka,umefanya uamuzi wa busara.
 
Hakuna kitu kama hicho, maisha yako utaendelea kubaki nayo mwenyewe na utaendelea kufanya mema na mabaya, na utahesabiwa kwa matendo yako siku ya hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…