Mmmhhh...vina muda basi!!!Kumpokea Yesu ni kitu kimoja, kutembea kwenye njia yake ndio kitu Cha muhimu zaidi baada ya kumpokea, otherwise utakuja anzisha Uzi mwingine hapa useme wokovu kumbe ni ubabaishaji hauna kitu, soma biblia Kila siku at least sura Moja, na pata muda wa kuomba hata 30 minutes everyday.
otherwise that is by far the best decision of your life
Kwahyo anatuzuga tuuMmmhhh...vina muda basi!!!
Tumpe muda!Kwahyo anatuzuga tuu
Uza vitu vyako vyote na uwagawie masikini; hapo utakuwa umeokoka kweli
Yesu ni MwambaZakayo (Tax Officer] alitoa nusu na sio vyote Kama unavyomshauri mwenzio! [emoji848][emoji848]
Akiuza vyote na kugawa kisha ataishije? Atashika wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutaona kama ataweza!..tuko hapa!!! [emoji23]Vina muda basi?
Ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoZakayo (Tax Officer] alitoa nusu na sio vyote Kama unavyomshauri mwenzio! [emoji848][emoji848]
Akiuza vyote na kugawa kisha ataishije? Atashika wapi?
Mmmh..vina muda basi!!!! [emoji23]Kaza buti na wala sio swala la kupongezwa
Kwa hongera Kwani Mungu huangalia mwisho wa jambo zaidi na wala si Mwanzo tu!
Hudhuria ibada, mikesha, seminar, mikutano ya Injili, Soma Biblia, jifunze, tumika shambani mwa Bwana n.k
Udumu ktk kuyafanya hao utakua kiroho.
Mmmh.....tuko hapa!!!Pia ukumbuke kutoa michango mikubwa ya ujenzi kwa sehemu za kuabudia
Mungu akutangulie ukamtumikie kwq uaminifu na kuishi maisha ya utakatifuUwe na nia ya dhati na Mungu akutie nguvu maana safari ni ndefu yenye milima na mabonde
Hongera sana Mungu azidi kukupigania AmenHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana