Malaika mbinguni wanashangilia hongera sanaHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
Umesha angamiaHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
ACHA kumzingizia blazaako wewe!!!Ningeshangaa kukosekana kwa comment kama hii ktk huu uzi maana shetani naye yupo kazini.
Ukiokoka utaacha mkuu. Yesu anakupenda sana.ACHA kumzingizia blazaako wewe!!!
Hahahahahaha, ila Mungu anaweza kumsaidia akaachaTumpe muda!
Huyu dogo namfahamu sana, tunaishi nae jirani...anapenda sana nyeto!!!
Karibu sanaHabarini ndugu zangu,
Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.
Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.
Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.
Mbarikiwe Sana
AmenUmechagua fungu jema kabisa. Karibu kundini na Mungu aliyekuita atakutia nguvu
Amen,ujumbe mzuriAMEN Mungu akujaalie maisha marefu afya njema ndani ya wokovu... Jitahidi kuhudhuria ibada angalau 2 za katikati ya wiki na ile ya jumapil bilakukosa... Jitahid kusali kilasiku bilakukosa asubuh unapo amka, mchana popote pale utakapokuwepo angalau kwa dk 1 na usiku unapokaribia kulala... Jitahid sana kusoma Biblia kilasiku bilakukosa... Epuka kukaa na watu wanaokubeza na kukukatisha tamaa, sikiliza vipindi vya dini.... Mungu asikupungukie uishi ktk yeye... Hakika utaona baraka za Mungu ktk maisha yako... HONGERA