Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715

View: https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq

Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.

Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.

Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc. and 20+ years lazima hawa watakuwa katika early 40s.

Rah p was beautiful na alijua kuchana pia, too bad muziki wa bongo ulikuwa maututi maybe for her style.
 
Mhhhh
Sio wa kuishi bongo akili hii
Atakuwa anabeba box saa hii huko mambele
Bongo fleva iliaanzaga na wakali wa ku spit bars
Ila walivyokuja wakata mauno na midume yenye kuimba matusi na sauti za kike ndio ikawa mwisho wa rap bonanza…
 
Aliolewa kihuni na black America mmoja akamzalisha wawili akampiga biti mambo ya sanaa hapana, jamaa baadaye akakamatwa na madawa kafungwa jela na Raha kabaki anahussle tu huko Houston Tx! Kuna clip ilikua inazunguka miaka michache nyuma anaeleza ilivyokua. Sidhani hata kama keshapata papers

Unaweza kumsikiliza hapa jinsi alivyopotea njia

 
Back
Top Bottom