Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc. and 20+ years lazima hawa watakuwa katika early 40s.
Rah p was beautiful na alijua kuchana pia, too bad muziki wa bongo ulikuwa maututi maybe for her style.
Mhhhh
Sio wa kuishi bongo akili hii
Atakuwa anabeba box saa hii huko mambele
Bongo fleva iliaanzaga na wakali wa ku spit bars
Ila walivyokuja wakata mauno na midume yenye kuimba matusi na sauti za kike ndio ikawa mwisho wa rap bonanza…
Aliolewa kihuni na black America mmoja akamzalisha wawili akampiga biti mambo ya sanaa hapana, jamaa baadaye akakamatwa na madawa kafungwa jela na Raha kabaki anahussle tu huko Houston Tx! Kuna clip ilikua inazunguka miaka michache nyuma anaeleza ilivyokua. Sidhani hata kama keshapata papers