Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Umejitahidi ila tu
1. Ndizi nyama haziwekwi viungo zaidi ya karoti, kitunguu, pilipili (kwa wanaopendelea) hoho na nyanya kidogo sana (ni vyema zaidi kuacha kuweka nyanya)

2. Maji ya kwanza kupikia ndizi yanawekwa kidogo, hayatakiwi kuonekana juu ya ndizi.

Kuhusu nazi tayari umeshauriwa huko juu kwa usahihi, otherwise ulipata nyama nzuri sana ndio maana ndizi zimekuwa nzuri.

Ushauri huu wa mapishi ya ndizi ni kutokea kwa wenye ndizi nyama zetu, uchagani.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lol
 
Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..!😂
Your browser is not able to display this video.
 
Mwanangu unajua kupika? Basi mkwe wangu atafaidi sana...sio kwenye mapishi peke yake na kwenye mambo mengine pia. Hongera sana.
najulia wapi mama?🤣

kumenya ndizi tu siwezi

ntajifunza lakini kama ndo njia ya kupata vimwali
 
Sasa hapo umemaliza kula piga Lita 1 ya maji baridi kiasi then Twenzetu Sehemu tulivu tukapige Nyagi or K vant uku tukisubili game ya Simba uko ugaibuni na Liverpool v Maniyuu pale Anfield
 
Mbona ghafla Sana mmeamia lini huku kwenye mapishi kama kigezo😃😃
Umenichekesha wakati uzi umenipa majonzi
Mkuu,raha sana kuwa na mwanaume anayejua kupika sana....nakumbuka nilikuwa naenda kwake niko zangu naangalia movie yeye ananipikia chakula kitamuuu 😭😭

Au labda kwasababu mimi sijuagi kupika
 
Najifunza madam🙏
 
Umenichekesha wakati uzi umenipa majonzi
Mkuu,raha sana kuwa na mwanaume anayejua kupika sana....nakumbuka nilikuwa naenda kwake niko zangu naangalia movie yeye ananipikia chakula kitamuuu 😭😭

Au labda kwasababu mimi sijuagi kupika
Ilikua GG hiyo (both Team to score) unakula kisha baadae unaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…