Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
😃😃😃Si ulisema chapati Ndo changamoto...Umenichekesha wakati uzi umenipa majonzi
Mkuu,raha sana kuwa na mwanaume anayejua kupika sana....nakumbuka nilikuwa naenda kwake niko zangu naangalia movie yeye ananipikia chakula kitamuuu 😭😭
Au labda kwasababu mimi sijuagi kupika
Asee kama ni hivyo ngoja nijitaid kupata short course ya mapishi veta si wanatoa😃😃