Below 40
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 884
- 1,739
Mix ya beer za TBL ila sirudii tenaMara ya kwanza ila ukapiga na cocktail kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mix ya beer za TBL ila sirudii tenaMara ya kwanza ila ukapiga na cocktail kabisa?
Sio kitu tukataa ndoa naona wamelivalia njuga jiko... nchi inavituko wenyewe wanasema wanatoa kitu
Yani mchanganyo wa beer tu? Mfano safari , kilimanjaro na nk?Mix ya beer za TBL ila sirudii tena
Jani mgomba..maarufu kama Induu😃😃Ogopa matapeli hilo pishi wacheku wa kule mndenyi tu ndio wanalijulia😁😁😁 bila kuona jani la mgomba ni ubatili tu.
Aisee! Hongera sana. Ila hapo kwenye Nyama, Dah! Siku nyingine hebu jaribu kutumia kitimoto mwanangu halafu ulete mrejesho hapa.Nilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua
MAHITAJI;
Carry powder, paprika powder, black pepper, soya souce, tui la nazi (tui la 1 na tui la 2), ndizi mshale 8, nyama nusu, carrot na pilipili hoho (paprika)
View attachment 3193027
Nikachemsha nyama hadi zikaiva na kulainika kabisa mimi huwa sipendi nyama ngumu
View attachment 3193032
Baada nyama kuiva nikabadilisha sufuria maana ilikua ndogo nikaweka ndizi zilizokatwa vipande vidogo kisha nikachanganya paprika powder, black pepper, carry powder, soya souce na chunvi
View attachment 3193033View attachment 3193034
Baada ya kukoroga na kuhakikisha viungo vimekolea vizuri nikaweka nyama na tui la nazi la pili
View attachment 3193035
Kisha nikaweka mchuzi wa nyama
View attachment 3193037
Baada ya hapo nikafunika ili mchanganyiko wangu uive kwa muda fulani
View attachment 3193039
Baada ya mchanganyiko kuiva nikaongeza hoho, carrot na tui la kwanza (tui zito)
View attachment 3193040
View attachment 3193041
Kisha nikafunika tena kwa dakika kadhaa ili mchanganyiko uive vizuri baada ya dk kama nane chakula chetu kilikua tayari kwa kuliwa
View attachment 3193048
Chkula kilikua chamoto sana na kitamu chenye radha nzuri na kinanukia
View attachment 3193052
Natamani niwaonjeshe utamu wa hiki chakula ila ndo hivyo tena haiwezekani😜 na pia wengi watajiuliza ulikunaje nazi? Jibu nilitumia blender kisha nikaichuja
Wale tulio single bila wapenzi tuwe na mazoea ya kupika tukipata muda vyakula vya mama ntilie vipo kibiashara zaidi na pia vina kasoro nyingi mno
Mimi ni mtu wa pwani napenda sana chakula kilichopikwa kwa mchanganyiko wa nazi juzi nilitoka mafia nikambebea mama nazi za kutosha chache nikabaki nazo
View attachment 3193106

Ndo nimeshakosa mke mimi🙆
Mwenyekiti Mbowe mitano tenaNilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua
MAHITAJI;
Carry powder, paprika powder, black pepper, soya souce, tui la nazi (tui la 1 na tui la 2), ndizi mshale 8, nyama nusu, carrot na pilipili hoho (paprika)
View attachment 3193027
Nikachemsha nyama hadi zikaiva na kulainika kabisa mimi huwa sipendi nyama ngumu
View attachment 3193032
Baada nyama kuiva nikabadilisha sufuria maana ilikua ndogo nikaweka ndizi zilizokatwa vipande vidogo kisha nikachanganya paprika powder, black pepper, carry powder, soya souce na chunvi
View attachment 3193033View attachment 3193034
Baada ya kukoroga na kuhakikisha viungo vimekolea vizuri nikaweka nyama na tui la nazi la pili
View attachment 3193035
Kisha nikaweka mchuzi wa nyama
View attachment 3193037
Baada ya hapo nikafunika ili mchanganyiko wangu uive kwa muda fulani
View attachment 3193039
Baada ya mchanganyiko kuiva nikaongeza hoho, carrot na tui la kwanza (tui zito)
View attachment 3193040
View attachment 3193041
Kisha nikafunika tena kwa dakika kadhaa ili mchanganyiko uive vizuri baada ya dk kama nane chakula chetu kilikua tayari kwa kuliwa
View attachment 3193048
Chkula kilikua chamoto sana na kitamu chenye radha nzuri na kinanukia
View attachment 3193052
Natamani niwaonjeshe utamu wa hiki chakula ila ndo hivyo tena haiwezekani😜 na pia wengi watajiuliza ulikunaje nazi? Jibu nilitumia blender kisha nikaichuja
Wale tulio single bila wapenzi tuwe na mazoea ya kupika tukipata muda vyakula vya mama ntilie vipo kibiashara zaidi na pia vina kasoro nyingi mno
Mimi ni mtu wa pwani napenda sana chakula kilichopikwa kwa mchanganyiko wa nazi juzi nilitoka mafia nikambebea mama nazi za kutosha chache nikabaki nazo
View attachment 3193106
Tuliza kitenesi jombi tupo jukwaa la mapishi.wazee wa kujipikia..oa ndugu
naona hadi nanzi ni yakukuna kabisa aisee
Machalari na kaparachichi kidogo, ukishiba unashushia na mbege kidgo 😋😋Jani mgomba..maarufu kama Induu😃😃
Ndiyo maana Bibi yangu anapika ndizi tamu vibaya mno....kwangu mimi hajawahi kupata mpinzani..
Ndio mkuu jaribu unyama sanaYani mchanganyo wa beer tu? Mfano safari , kilimanjaro na nk?
Mpka mwakani ,mwaka huu sigusi alcohol mkuu 😁Ndio mkuu jaribu unyama sana
Waw! Mpendwa; ni Utumbo wa ng'ombe au mbuzi? Utumbo wa mbuzi esp. akiwa ni beberu ambaye hajahasiwa (not castrated)ni the best. Utumbo wa mbuzi una kauchachu fulan hv amazing.Ukishaweka tui la nazi kwenye ndizi tu unaharibu kila kitu
Dah umenikumbusha machalari ya utumbo nyama. Ngoja kesho niwahi buchani
Nani alikumenyea ndizi au una kamashine Ka kumenyea?!Nilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua
MAHITAJI;
Carry powder, paprika powder, black pepper, soya souce, tui la nazi (tui la 1 na tui la 2), ndizi mshale 8, nyama nusu, carrot na pilipili hoho (paprika)
View attachment 3193027
Nikachemsha nyama hadi zikaiva na kulainika kabisa mimi huwa sipendi nyama ngumu
View attachment 3193032
Baada nyama kuiva nikabadilisha sufuria maana ilikua ndogo nikaweka ndizi zilizokatwa vipande vidogo kisha nikachanganya paprika powder, black pepper, carry powder, soya souce na chunvi
View attachment 3193033View attachment 3193034
Baada ya kukoroga na kuhakikisha viungo vimekolea vizuri nikaweka nyama na tui la nazi la pili
View attachment 3193035
Kisha nikaweka mchuzi wa nyama
View attachment 3193037
Baada ya hapo nikafunika ili mchanganyiko wangu uive kwa muda fulani
View attachment 3193039
Baada ya mchanganyiko kuiva nikaongeza hoho, carrot na tui la kwanza (tui zito)
View attachment 3193040
View attachment 3193041
Kisha nikafunika tena kwa dakika kadhaa ili mchanganyiko uive vizuri baada ya dk kama nane chakula chetu kilikua tayari kwa kuliwa
View attachment 3193048
Chkula kilikua chamoto sana na kitamu chenye radha nzuri na kinanukia
View attachment 3193052
Natamani niwaonjeshe utamu wa hiki chakula ila ndo hivyo tena haiwezekani😜 na pia wengi watajiuliza ulikunaje nazi? Jibu nilitumia blender kisha nikaichuja
Wale tulio single bila wapenzi tuwe na mazoea ya kupika tukipata muda vyakula vya mama ntilie vipo kibiashara zaidi na pia vina kasoro nyingi mno
Mimi ni mtu wa pwani napenda sana chakula kilichopikwa kwa mchanganyiko wa nazi juzi nilitoka mafia nikambebea mama nazi za kutosha chache nikabaki nazo
View attachment 3193106
Weka kwenye bucket list mi ndio ilikua mara ya kwanza na ya mwishoMpka mwakani ,mwaka huu sigusi alcohol mkuu 😁
naona unafuatilia kwa makini hutaki kupoteza point hata moja chiefTuliza kitenesi jombi tupo jukwaa la mapishi.
pombe inadumaza sana uwezo wa kufikiria mkuu...tizama mlevi fahamu zake zilipoishiaMkuu tuheshimu hata kidogo bhana😅
Kama hapa nimedumaa bora nidumae tu mkuu😁pombe inadumaza sana uwezo wa kufikiria mkuu...tizama mlevi fahamu zake zilipoishia