Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..!😂
Napinga njegere unataka atuchafulie hali ya hewa!..🤣
 
Ni kweli nishakula mgahawani km mara mbili mjini nilitapika balaa nikajaribu kuulizia nikaambiwa huenda ni mchanganyo wa mafuta ya kupikia
Mafuta yale ni sumu. We ngoja tu huko mbele ya safari. Yaani unaweza kuweka cho chote kwenye chupa ya plastic; na ukauza kama mafuta ya kupikia. Na hakuna anayejali.

Kuna mripuko wa kansa ya utumbo hasa kwa vijana under 30 na tafiti zimeanza kuonyesha kuwa pengine kisababishi kikuu ni mafuta ya kupikia hasa haya yanayotokana na mbegu za mimea kama mahindi (corn oil), pamba, canola, zabibu, alizeti n.k.

Mafuta ya kupikia yanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu sana hasa haya tunayotumia huku mitaani vinginevyo mh!...

Screenshot_20241217_152253_Chrome.jpg
 
Hebu nipe maneno mazuri ya kumueleza mume 😂😂😂
Yani namwambia mume wangu,nimemmiss ex nahisi kama bado nampenda kwa hiyo niruhusu nirudi kwake 🤣
Kabla sijakupa maneno andaa machela ya kukubebea 😃
 
Mafuta yale ni sumu. We ngoja tu huko mbele ya safari. Yaani unaweza kuweka cho chote kwenye chupa ya plastic; na ukauza kama mafuta ya kupikia. Na hakuna anayejali.

Kuna mripuko wa kansa ya utumbo hasa kwa vijana under 30 na tafiti zimeanza kuonyesha kuwa pengine kisababishi kikuu ni mafuta ya kupikia hasa haya yanayotokana na mbegu za mimea kama mahindi (corn oil), pamba, canola, zabibu, alizeti n.k.

Mafuta ya kupikia yanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu sana hasa haya tunayotumia huku mitaani vinginevyo mh!...

View attachment 3193320
Aisee bas hatar ni kubwa mno kama ni hivo na wenzetu wanavyochanganya mafuta yalokaangiwa maandazi yanapikiwa katles mara sambusa yakibaki yanakaangiwa samaki ndo yanazid kuwa mabaya
 
asilimia 80 ya chakula ninachokula huwa napika mwenyewe,....kasoro supu ya kongoro tu huwa nafuata mgahawani,...ila kwenye kukuna nazi nimekunyoshea mikono🙌🙌🧐😥😥🥲🙄🤒🤔🤔❗🤐
 
Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..!😂
kama mimi nilichemsha yai nikaunguza
 
asilimia 80 ya chakula ninachokula huwa napika mwenyewe,....kasoro supu ya kongoro tu huwa nafuata mgahawani,...ila kwenye kukuna nazi nimekunyoshea mikono🙌🙌🧐😥😥🥲🙄🤒🤔🤔❗🤐
jama anapigapiga kabisa tui halina pumba wala halijakatika aisee kama la bakhresa
 
Back
Top Bottom