Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

Waw! Mpendwa; ni Utumbo wa ng'ombe au mbuzi? Utumbo wa mbuzi esp. akiwa ni beberu ambaye hajahasiwa (not castrated)ni the best. Utumbo wa mbuzi una kauchachu fulan hv amazing.
Utumbo wa mbuzi hautakiw usafishe mavi yakaisha unakuw na supu nzito sana

Ila i meant utumbo wa ng'ombe, nyama mbavu, natoa ndizi nyama utumbo na kama ni mbuzi nitakula kapilipili mbuzi kushushia.
 
Naishi na mume,siwezi kukaa na mtu mwingine kwa sasa
Anakula nachopika mara moja moja,sidhani kama natoa boko kila siku
Weeee! Kama mko kwenye ndoa, huyo mwenzangu anavumulia tuu hakwambii ili kuepusha timbwili ndani ya ndoa. Ukitaka kuhakikisha hilo, jaribu siku moja kulikoroga (na wewe ujue kweli umelikoroga) halafu tenga mezani uone kama atasema neno gani.
 
Ni sawa,wewe unajua zaidi maisha yetu

Makofi matatu kwako šŸ‘šŸ‘šŸ‘
 
Hii dunia haihitaji fahamu kila saa mkuu , utaja kuchanganyikiwa bure😁
lakini si kupoteza fahamu hadi inafika atua kujisaidia haja kubwa marabarani usiku ndugu hili halivumiliki kwakweli ndugu zangu walevi
 
Utumbo wa mbuzi hautakiw usafishe mavi yakaisha unakuw na supu nzito sana

Ila i meant utumbo wa ng'ombe, nyama mbavu, natoa ndizi nyama utumbo na kama ni mbuzi nitakula kapilipili mbuzi kushushia.
Mambo mengine bhana! Unatuamshia apetite ilhali hicho kitu pendwa hakipatikani huku. Niliwahi kukitia mdomoni nilipobahatika kuwepo pale Uchira miaka hiyo.
 
Ni sawa,wewe unajua zaidi maisha yetu

Makofi matatu kwako šŸ‘šŸ‘šŸ‘
Hapo šŸ‘† šŸ‘† kwa kweli umenidanganya. Nitayajuaje maisha yenu zaidi ya nyie mlioko humo? Hayo makofi ni ghilba.
 
Mambo mengine bhana! Unatuamshia apetite ilhali hicho kitu pendwa hakipatikani huku. Niliwahi kukitia mdomoni nilipobahatika kuwepo pale Uchira miaka hiyo.
Hahaha ngoja ninywe sprite ya baridi kukausha koo.

Kesho asubuhi itakuwa kweli
 
Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..![emoji23]
wanawahi jagi la umeme wachemshe maji[emoji57], umeme ukikata hawaogi wananawa tu na kulala nyau hawa, oeni vijana wangu
 
Wale tulio single bila wapenzi tuwe na mazoea ya kupika tukipata muda vyakula vya mama ntilie vipo kibiashara zaidi na pia vina kasoro nyingi mno
Hatari kubwa ya vyakula vya mama lishe ni mafuta wanayotumia. Yaani huwezi jua ni mafuta gani na hata kama yameshamaliza muda wake huwezi jua. Mafuta yanawekwa kwenye chupa za plastic halafu yanashinda juani siku nenda siku rudi. Naamini kutakuwa na mripuko wa magonjwa ya moyo huko mbele ya safari.

Ukijipikia mwenyewe angalau unajua kila unaingiza mwilini mwako. Safi sana kamanda!
 
Aaliyyah njoo mwaya chef wangu..!!
Mtoa mada, wakati mwingine jaribu kutia njegere ama mchicha, uta enjoy zaidi..!!

Hongera kwa chakula kizuri, wenzio hawajui hata kuchemsha maji ya kuoga huko duniani..!šŸ˜‚
Yaan ni wavivu balaa hawawez hata kusuuza Kijiko amepika vizuri sana hizo Nazi balaa
 
Hatari kubwa ya vyakula vya mama lishe ni mafuta wanayotumia. Yaani huwezi jua ni mafuta gani na hata kama yameshamaliza muda wake huwezi jua. Mafuta yanawekwa kwenye chupa za plastic halafu yanashinda juani siku nenda siku rudi. Naamini kutakuwa na mripuko wa magonjwa ya moyo huko mbele ya safari.

Ukijipikia mwenyewe angalau unajua kila unaingiza mwilini mwako. Safi sana kamanda!
Ni kweli nishakula mgahawani km mara mbili mjini nilitapika balaa nikajaribu kuulizia nikaambiwa huenda ni mchanganyo wa mafuta ya kupikia
 
Back
Top Bottom