min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kwa hapa nakusikiliza wewe tu wakwetuNakazia hapaπππππππ..
Ndizi zinataka vitunguu vya kutosha,hoho,Karoti na nyama ya kutosha tu...iwe nzuri...makorokoro mengine hayana maana yoyote..