πππSi ulisema chapati Ndo changamoto...Umenichekesha wakati uzi umenipa majonzi
Mkuu,raha sana kuwa na mwanaume anayejua kupika sana....nakumbuka nilikuwa naenda kwake niko zangu naangalia movie yeye ananipikia chakula kitamuuu ππ
Au labda kwasababu mimi sijuagi kupika
Bruh ana matui mawili kabisaππ€£Haujabadilika mkuu.
Huyu hakuudhuria vikao.
Ilikua GG hiyo (both Team to score) unakula kisha baadae unaliwa
Hii unakutana na nyama juu mpaka chini... sio rafiki sana kwa raia wa uchumi wa katiπIle ya kusema kula mtori nyama utazikuta chini hai apply hapo hapo unakula mtori na nyama unakula hapo hapoπΉπ
Hapana, wanawake tunavutiwa na wanaume wanaojua kupika. Kuna raha isiyoelezeka kupikiwa na mwanaume wako, binafsi napenda na niko tayari kumfundisha ajue hata vyakula vichache tu.Umenichekesha wakati uzi umenipa majonzi
Mkuu,raha sana kuwa na mwanaume anayejua kupika sana....nakumbuka nilikuwa naenda kwake niko zangu naangalia movie yeye ananipikia chakula kitamuuu ππ
Au labda kwasababu mimi sijuagi kupika
πππSi ulisema chapati Ndo changamoto...
Asee kama ni hivyo ngoja nijitaid kupata short course ya mapishi veta si wanatoaππ
Tumetoa tangazo kule kwa group. Tatizo husomi messagesMtumishi mbona hamjatoa tangazo twende short courseππ
Kwa vyakula vyake vile vitamu namna ile nilikuwa nampa yote
Nikishakula na yeye anakula sio chini ya goli nne πππ
Tunaoona kula nyama ni anasa??Hii unakutana na nyama juu mpaka chini... sio rafiki sana kwa raia wa uchumi wa katiπ
Kula nyama ni shereheπTunaoona kula nyama ni anasa??
Hapana, wanawake tunavutiwa na wanaume wanaojua kupika. Kuna raha isiyoelezeka kupikiwa na mwanaume wako, binafsi napenda na niko tayari kumfundisha ajue hata vyakula vichache tu.
Lakini sio kupika kila siku, hata mara 3 kwa mwaka inatosha kabisa.
Sasa usiombe ajue na kuchoma choma minyama & kuku! Acha bwana!
Over 3.5 inatoka kwa gemu yako kumbe.
Wacha nikapike ugali sasa maana nyama na mchina vimeshapatana.Tena kwa odd ya 1.50 manake ni uhakika
Mimi wa kwangu nilimuuliza alisema anajua kupika maharage tu sijui na nini! Nilinyoosha mikono juu π π ππΎNi kweli Nifah
Ni raha mno, yule aliyekuwa wangu alikuwa kashajua navyopenda akinipikia....nilikuwa naenda kwake karibia kila siku
Mimi akinipikia kila siku ni furaha isiyoelezeka
Ukila na nazi unachefukwa hatarimachalari ya pwani jau kinoma
niliwahi kula nikapata kichefu chefu
ila mimi mshamba tu sijaizoea nazi
Jaribu ukae na mtu anayejua kupika ujifunze binafsi wakati nafika chuo nilikuwa najua kusonga ugali tuuChapati ni moja ya vingi nisivyojua
Kiufupi upishi is not my thing....kuna wakati nilileta humu uzi kuhusu mtu kutojua kupika
Sijiwekagi kwenye watu wanaojua kupika
Nakazia hapaπππππππ..Umejitahidi ila tu
1. Ndizi nyama haziwekwi viungo zaidi ya karoti, kitunguu, pilipili (kwa wanaopendelea) hoho na nyanya kidogo sana (ni vyema zaidi kuacha kuweka nyanya)
2. Maji ya kwanza kupikia ndizi yanawekwa kidogo, hayatakiwi kuonekana juu ya ndizi.
Kuhusu nazi tayari umeshauriwa huko juu kwa usahihi, otherwise ulipata nyama nzuri sana ndio maana ndizi zimekuwa nzuri.
Ushauri huu wa mapishi ya ndizi ni kutokea kwa wenye ndizi nyama zetu, uchagani.
Nitajitaid kufuatiliaTumetoa tangazo kule kwa group. Tatizo husomi messages
Mkuu tuheshimu hata kidogo bhanaπwalevi mkishaona mchemsho bana