Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

mtaalamu mmoja wa masuala ya ajali barabarani,pia aliwahi fanya kazi ya zima moto hapo awali nchini marekani aliwahi kusema,....

"nawashauri watumiaji wa magari wasisahau siku zote kufunga MIKANDA wawapo barabarani"
"waendesha baiskeli, waangalie breki zao siku zote kabla hawajaanza safari"
"watembea kwa miguu wajitambue kama watumiaji zaifu zaidi wa barabara, na hivyo waongeze umakini kujilinda"

LAKINI watumiaji wa pikipiki waache mara moja, kwani huo sio usafiri,....
 
Cc Khantwe unamuona huyu,kakoswakoswa na kihatarishi kandandia kihatarishi kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…