Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Pole sana,tupe story ilikuwaje?[emoji3]
Nilitoka kzn nikasema leo ngoja nipite shivas, nikanywa alaf nikapitiliza jaman, siku hiyo nilitaka tu kufurahi, muda wa kuondoka kumbe kuna lifisi lilikuwa linanimendea lilijoin nilipokuwa nimekaa tukaanza kunywa nalo, nimefika muda wa kuondoka likaniambia nisiondoke nikasema nahitaji kupumzika likaniambia litanipeleka nikanwambia nina gari, basi akasema atanisindikiza nikatoka yaani wewe achaaa ... Story itaendelea wewe fisi
 
Kama upo Dar, nakukumbusha biashara imekua ngumu kwaio mbinu zimebadilika za kibiashara.
 
Nashangaa wazee wa "Weka picha" wamezembea wapi leo? 🀣🀣🀣

Msisahau kesho siku ya UKIMWI.
 
Nachukia sana hii hali angalia tu asije akakupiga madole πŸ–•πŸ½πŸ–•πŸ½πŸ–•πŸ½
 
Bora we bado unatongozwa na mabinti, wenzako uzee umepiga hodi uhandsam boi umepotea mabinti hatuwavutii tena kama zamani. Hata wakongwe wenzetu hatuwavutii, hatuna bara wa visiwa tupotupo tu ni kama tumestaafishwa mapenzini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…