Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
- Thread starter
- #41
Umepata
Weka namba yako ya simu nikurushie hela yako mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepata
Ujinga sumuWakuu mmebarikiwa,
Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.
Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.
Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?
Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.
Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
01020304...... Nyingine kwenye muamala zitakuja zenyeweUmepata
Weka namba yako ya simu nikurushie hela yako mkuu.
Khah! Ina maana hujaona nimekosea nikakutumia namba yakoTayari nimekutumia mkuu angalia salio
Hadi wivu jamaniNgoja kesho nionane nae nilete ushahidi
Kama alivyojibu mwenzako, atamjibu ahahKutongozwa si tatizo. Tatizo ni jibu lako la ........ "asante"
Dada yako naye ajibu vipi akiambiwa nakupenda au umependeza?.
Kwani wanaume tunajibu vipi wakulungwa?
DepressionWakuu mmebarikiwa,
Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.
Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.
Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?
Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.
Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Unakaribia kustaafu?Me nina 48 now nakaribia 49 mwei march
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikubali kirahisi mwaya atakuona malaya, mzungushe kidogo[emoji1787][emoji1787]
Nilipanga kumzungusha ila kaja geto nimepiga mzigo, nadhani kuanzia hapa sasa ndio nianze kumzungusha.Usikubali kirahisi mwaya atakuona malaya, mzungushe kidogo🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah.! Umenikumbusha shivaz aisee nimepamis sana chugaUnaitwa na demu shivaz au kaumba unadai unapendwa aisee
Umenikumbusha mbali jamani, bado kidogo niliwe tunda kwenye gari mitaa ya shivaz [emoji2][emoji2]Unaitwa na demu shivaz au kaumba unadai unapendwa aisee
Umeshakula tundaa jmnNilipanga kumzungusha ila kaja geto nimepiga mzigo, nadhani kuanzia hapa sasa ndio nianze kumzungusha.
Kwa mwandiko huu lazima utongozwe. real men have gone.Wakuu mmebarikiwa,