Nikutafute ili iwejeYanga ikishinda kwa kiwango hicho, nitafute.
He was a wise man who invented beer!"😂😂😂Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"
Amka mzee... Utajinyea kitandani.Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"

Kumbe hela za kubett nyepesi hivyoYanga watashinda ,hiyo pesa utaipiga
Sawa bwashee, hiyo pesa tunaibutua mchana kweupeTukutane kwenye bia za bure kwa gharama zangu. Nyama za kuchoma, soda, ubwabwa na supu haviko kwenye mahesabu hayo.