Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Which companyShilingi milioni 100 za kitanzania ni dola za kimarekani 40,000 tu; na ndizo nilizoweka.
Which companyShilingi milioni 100 za kitanzania ni dola za kimarekani 40,000 tu; na ndizo nilizoweka.
Sina wasiwasi na hali yako. Nakukumbusha shurba utakayoipata baada ya KUJINYEA KITANDANI.Usiwe na wasiwasi na hali yangu.
Unatafuta hasira za maandamano eeeLeo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"
Hela yangu imetafunwa leo pia; Yanga siyo timu ya kutegemewa kupata ushindi wa mabao matatu.