Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Bwana wee! kwahiyo wewe kwako hii situation ndio worse kabsa

Yani Kazi[emoji1542]Kazi[emoji1542] Nyumbani [emoji1542]Kazi[emoji1542]Kazi
Yes sir! Japo si siku zote. Kuna siku ambazo hatuna oda.
 
Mimi niliacha kazi nikawa nafanya mambo yangu kwa muda wangu. Ajira ni zaidi ya utumwa
Mimi niliacha ualimu.....Mambo gani naenda shule toka utotoni mpk uzeeni......aiseee plus kufokewa kuapangiwa ratiba vilinichosha......mshahara Sasa hapo hata sisemi nyie mnajua.......now Mambo yangu sio mazuri ya kusema nirelax but at least Mimi no steling wa maisha yangu and I'm happy where I'm
 
Fanya hvyo kila mwez Mara 3 utafurahi
 
hahaha unanisingizia mkuu, pesa zangu zote zipo kwa njia ya crypto nlishaacha kutumia benki mkuu
Au sio, upo kidigital zaidi. Hivi hyo mifumo Iko collapse huko itakuaje? Mtamshtaki nani?
 
Hii huwa ninaita ni "RAT RACE" haina tofauti na yule panya alewekwa kwenye cage na anakuwa na kadude mithili ya tairi anaingia na kukimbia kinakuwa kinazunguka tu hapo japo bado yupo ndani ya cage. Hilo life ni boring sana na humfanya mtu asiwe exposed hasa kama level yako ndogo, mshahara mdogo yani haufiki walau 1.5m take home na kazi yenyewe Ila all in all ni mtazamo tu
 
Oy kuna mwana hapo juu kasema anapokea laki 3 kwa mwezi, so kusema 1.5 m ni mshahara mdogo utakuwa unamchanganya
 
Umeongea kitu cha kweli kabisa, mimi nililigundua hili nilipokua nikifanya field,ilikua ni mateso makubwa sana.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
You're only few steps from recognizing your true purpose, keep seeking answers they are around the corner
 
Jikaze ivoivo usichoke KAZI broo. Wenzako tunaitamani hata hiyo KAZI tungeipata. Nakusihi jitahidi ivoivo.tafadhali
 
Au sio, upo kidigital zaidi. Hivi hyo mifumo Iko collapse huko itakuaje? Mtamshtaki nani?

kwan benki ikifulia unashtaki wap mkuu? ama hujui benki ikifulia ndo mwisho wa kuona ela yako
 
Asante kwa coment yako imenikumbusha wema wa Mungu kwangu.Namshukuru Mungu niko levels za kukaa indoors for as long as I desire.Hata hivyo huwa inatokea pia nafanya kazi hata nikiwa ninaumwa,kuna wakati hata muda wa kulala usiku sipati.Na wakati ninaanza kuna wakati nilikua nawaonea wivu walioajiriwa sababu nilikua naishi kwa stress sana.Namshukuru
Coment yako imenibariki na
Asante kwa coment yako imenikumbusha wema wa Mungu kwangu.Namshukuru Mungu niko levels za kukaa indoors for as long as I desire.Hata hivyo huwa inatokea pia nafanya kazi hata nikiwa ninaumwa,kuna wakati hata muda wa kulala usiku sipati.Na wakati ninaanza kuna wakati nilikua nawaonea wivu walioajiriwa sababu nilikua naishi kwa stress sana.Namshukuru kwa sasa sitamani tena kuajiriwa ila haimaanishi kujiajiri ni rahisi.
 
Wow! You made my evening! Japo uzi ni wa zamani ila umenifurahisha kwa huo ushuhuda wako.

See you on top! 🥰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…