Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?

Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini

Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!

Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!

And how long are we supposed to do this for?

Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Naomba ufike kazin muda huu kabla sijakuandalia barua ya onyo

From your boss
 
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?

Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini

Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!

Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!

And how long are we supposed to do this for?

Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Tafadhali naomba kujua jinsia yako.
 
hata mm hiyo situation inanitokeaga sana uwa nalalaga tuu
 
Kufanya kazi ni lazima na ndio itakua hivyo Maisha yote. Hii ni Mungu mwenyewe kaiweka hivyo tena kasisitiza Na Asiyefanya Kazi Na Asile. Kimsingi wewe leo hutakiwi kula kwani hujafanya kazi. Kazi ni Lazima, hapa itatofautiana tu kati ya kazi ya kuajiliwa au kujiajiri. ya kutumia Nguvu zaidi au Akiri zaidi. Lakini Lazima Tufanye Kazi tena kwa Bidii hii ndio hali ya Dunia mpaka Mwisho.
 
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?

Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini

Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!

Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!

And how long are we supposed to do this for?

Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Asiyefanya kazi, asile! Leo jipe pia wasaa mzuri wa kushinda na njaa, ili uone faida mojawapo ya kufanya hiyo kazi.
 
[emoji419]Je unajua wajua unaweza kuvisikiliza vitabu vyote maarufu, badala ya kusoma?

[emoji419]Ndio, wasiliana nami ili niweze kukupatia kitabu chochote unachokihitaji ktk format ya audiobook.

[emoji419]Utapata vitabu vyote, mfano;
[emoji736]Think like a monk - Jay Shetty
[emoji736]Can't hurt me - David Goggins
[emoji736]Ikigai - Hector Garcia
[emoji736]The psychology of money - Morgan Housel
[emoji736]Rich Dad Poor Dad - Robert Kiyosaki

[emoji736]Na vingine vingi ..

Faida za vitabu ktk mfumo wa sauti (audiobook);

[emoji3591]UTASIKILIZA VITABU VINGI KWA MUDA MFUPI. Mfano; Kama unasoma kitabu kimoja kwa muda wa mwezi mmoja, kwa speed hiyohiyo utasikiliza zaidi ya vitabu 20 kwa kutumia audiobooks.

[emoji3591]Kiingereza kinachotumika ni rahisi kueleweka, audiobooks pia zitakusaidia KUKINOA KIINGEREZA CHAKO.

[emoji3591]Utapata MAARIFA mapya.

[emoji3591]HAUHITAJI MUDA MAALUM KUSIKILIZA VITABU, unaweza kusikiliza NJIANI ukiwa UNAENDA au KURUDI KAZINI, BARABARANI UKIWA UNAKIMBIA, n.k

[emoji3591]Unaweza KUSIKILIZA UKIWA UNAFANYA SHUGHULI INGINE
.
[emoji3591]Utajifunza jinsi ya KUTAWALA HISIA zako. Mf; HASIRA, UVUMILIVU.

[emoji3591] Utaboresha MAHUSIANO yako.

[emoji3591]Utajifunza jinsi ya KUONGEZA KIPATO chako.

[emoji3591]Utakuwa KIONGOZI bora.

[emoji3591]Utakuwa MZUNGUMZAJI mzuri.

[emoji3591]Utakuwa na FURAHA.

[emoji3591]UTABURUDIKA.

[emoji3591]Njia sahihi ya KUONDOA STRESS.

[emoji3591]Utapunguza muda unaotumia ktk TV na MITANDAO YA KIJAMII.

[emoji3591]UTABORESHA MAISHA YAKO.

[emoji3591]Utapata MAWAZO MAPYA YA BIASHARA.

[emoji3591]Utapata UZOEFU WA WENGINE.

[emoji3591] Na faida nyingine nyingi ..

Audiobook zinapatikana

+255625536510 WhatsApp

Ukihitaji audiobook ya kitabu chochote, nicheck WhatsApp

BEI YA KITABU NI SH. 5000 TU.
Hela Kwanza au kitabu Kwanza?
 
Nami nimekuwa nikipitia changamoto kama zako mleta thread!!
Kufanya kazi kwa kuajiliwa ni zaid ya utumwq ila waafrica tumejiwekea mkataba kuwa lazima tuajiliwe ili tuweze kuishi.
Niliacha kazi mwaka jana mwezi wa tisa baada ya kuwa na muendelezo wa matukio kama ya kwako.

Mpaka leo sijawahi kujutia why niliacha kazi.
 
Government or private sector????
 
Hahahah! Uwiii nimecheka. Ndugu kazi ni maisha iwe ya kuajiriwa au ya kujiajiri. Kujiajiri pia sio rahisi, kama uko ambitious enough kuna siku utafanya kazi hata siku 3 mfululizo usiku na mchana bila kupumzika sababu you are pushing your own na hautaki ukwame. Advantage ya kujiajiri ni kuwa unaweza ukafika stage pesa ikakufanyia kazi na wewe ukastay indoors siku nzima, Changamoto ni kuifikia hiyo stage hiyo!!!!

Yote kwa yote kila mtu lazima afanye kazi.
 
Back
Top Bottom