Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Na Ndio maana hatuendelei, production inapungua kwa watu kama sisi, viwandani kwa wahindi wanalipwa daily, hujatokea hujaingiza full stop. Pale getini wapo vibarua wanasubiri no show waingie mzigoni
 
Mimi watu walio ajiliwa na wa bongo hata sielewagi akili zao ziko je? Mtu acontrol mda wangu uhuru wangu kwa 30dys unanilipa kiasi gani hicho? I value my freedom kuliko hizo laki 7 zako.
Laki 7?
Dah! Au basi! Maake mnaweza kunimotivate niachane na kazi niliyonayo ya volunteer ya posho ya 100k kwa mwezi!
 
Sasa hapo mswahili alikuwaje sijui
Yaani kachezea mshahara weeee kafanya kazi kama mtumwa
Halafu aje aishi kama Mfalme HOW?

Mbona amechezea sasa hela zote?
Ataishi kama Mfalme Really?
Naelewa maana ya hili ila nimechomekea kuwa [emoji23][emoji23]
I wonder [emoji2377]
 
Na Ndio maana hatuendelei, production inapungua kwa watu kama sisi, viwandani kwa wahindi wanalipwa daily, hujatokea hujaingiza full stop. Pale getini wapo vibarua wanasubiri no show waingie mzigoni
Production inapunguaje sasa? Akati umesema Kuna watu wengine wapo ready kwa kazi in case haupo si wanakureplace tu
 
Both, kwahiyo kuna siku nikitoka kwa muajiri
hakuna kulala usiku japo na mimi nina wasaidizi usipowasimamia watakukwamisha.
Bwana wee! kwahiyo wewe kwako hii situation ndio worse kabsa

Yani Kazi[emoji1542]Kazi[emoji1542] Nyumbani [emoji1542]Kazi[emoji1542]Kazi
 
Ajira chenga Sana , katika short run Ajira ni bingo , katika long run Ajira ni mzigo mzito , kujiajiri ni msalaba mzito katika short run Ila katika long run ni raha kinyama
Umepangilia maneno na umeeleweka [emoji1477]
 
Yani huu msemo wenu wa "Fanya kazi kama mtumwa" ndio sitaki kuusikia kabsa
Sasa mkuu ukiajiriwa ni lazima utumikie ndio utumwa wenyewe,ukifanikisha malengo yako Ishi maisha ya ndoto zako😆
 
Kazi ni kujituma tu sio kwakupenda ndugu , watu wanaumwa na wanaenda kazini sembuse kuchoka tu
 
Sasa hapo mswahili alikuwaje sijui
Yaani kachezea mshahara weeee kafanya kazi kama mtumwa
Halafu aje aishi kama Mfalme HOW?

Mbona amechezea sasa hela zote?
Ataishi kama Mfalme Really?
Naelewa maana ya hili ila nimechomekea kuwa [emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 Mkuu hapo nilichomaanisha ni kuheshimu na kuwa na nidhamu ya kazi, na pia hata kama unatumikia basi tufanye kwa malengo na pindi malengo yako yatakapotimia unaweza kuishi maisha ya ndoto zako kinyume na hapo itakubidi kuendelea kupambana pasipo kuchoka ili ufanikishe malengo
 
Kama umechoka pumzika tu usijitese sana😂😂😂
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?

Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini

Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!

Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!

And how long are we supposed to do this for?

Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
 
Back
Top Bottom