Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 7?Mimi watu walio ajiliwa na wa bongo hata sielewagi akili zao ziko je? Mtu acontrol mda wangu uhuru wangu kwa 30dys unanilipa kiasi gani hicho? I value my freedom kuliko hizo laki 7 zako.
Both, kwahiyo kuna siku nikitoka kwa muajiriNaomba kujua kama ww Umeajiriwa au Umejiajiri?
😂😂😂 Hiyo nayo ni kazi Boss . Kuvizia sungura na kumpiga jiwe!Mfumo mwingine wa maisha uende porini tu
Wewe asubuhi unasubiri sungura apite piga jiwe
Maisha yaendelee
I wonder [emoji2377]Sasa hapo mswahili alikuwaje sijui
Yaani kachezea mshahara weeee kafanya kazi kama mtumwa
Halafu aje aishi kama Mfalme HOW?
Mbona amechezea sasa hela zote?
Ataishi kama Mfalme Really?
Naelewa maana ya hili ila nimechomekea kuwa [emoji23][emoji23]
Production inapunguaje sasa? Akati umesema Kuna watu wengine wapo ready kwa kazi in case haupo si wanakureplace tuNa Ndio maana hatuendelei, production inapungua kwa watu kama sisi, viwandani kwa wahindi wanalipwa daily, hujatokea hujaingiza full stop. Pale getini wapo vibarua wanasubiri no show waingie mzigoni
Bwana wee! kwahiyo wewe kwako hii situation ndio worse kabsaBoth, kwahiyo kuna siku nikitoka kwa muajiri
hakuna kulala usiku japo na mimi nina wasaidizi usipowasimamia watakukwamisha.
Sasa mkuu ukiajiriwa ni lazima utumikie ndio utumwa wenyewe,ukifanikisha malengo yako Ishi maisha ya ndoto zako😆Yani huu msemo wenu wa "Fanya kazi kama mtumwa" ndio sitaki kuusikia kabsa
Ila pia wasisahau kwamba nidhamu ya kazi ndio msingiWatu wanachuo sahau ndio kinacho wakwamisha
Kazi ni msingi wa maisha
Ajira ya boss ni mtaji wako kwaajili ya ajira yako
Ila pia wasisahau kwamba nidhamu ya kazi ndio msingi
Ikiwa hujitumi ukiwa umeajiriwa usidhani kwamba utakua tofauti sana na wewe ukiwa na biashara yako
🤣🤣🤣🤣 Mkuu hapo nilichomaanisha ni kuheshimu na kuwa na nidhamu ya kazi, na pia hata kama unatumikia basi tufanye kwa malengo na pindi malengo yako yatakapotimia unaweza kuishi maisha ya ndoto zako kinyume na hapo itakubidi kuendelea kupambana pasipo kuchoka ili ufanikishe malengoSasa hapo mswahili alikuwaje sijui
Yaani kachezea mshahara weeee kafanya kazi kama mtumwa
Halafu aje aishi kama Mfalme HOW?
Mbona amechezea sasa hela zote?
Ataishi kama Mfalme Really?
Naelewa maana ya hili ila nimechomekea kuwa [emoji23][emoji23]
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!
Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!
And how long are we supposed to do this for?
Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha