BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #101
Wacha na mm nijilipueKiukweli wengine hawajaumbwa kuajiriwa, na wakiajiriwa huwa wanaona wanateseka sana, mtoa mada upo kwenye hilo kundi nakushauri fanya mpango wa kuacha kazi. Mm nipo kwenye hilo kundi, ajira yangu ya kwanza niliteseka sana, mkataba ulipoisha sikuongeza mwingine