Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini uliacha kazi ukiwa ushajipanga... right?Nami nimekuwa nikipitia changamoto kama zako mleta thread!!
Kufanya kazi kwa kuajiliwa ni zaid ya utumwq ila waafrica tumejiwekea mkataba kuwa lazima tuajiliwe ili tuweze kuishi.
Niliacha kazi mwaka jana mwezi wa tisa baada ya kuwa na muendelezo wa matukio kama ya kwako.
Mpaka leo sijawahi kujutia why niliacha kazi.
Naomba kujua kama ww Umeajiriwa au Umejiajiri?Hahahah! Uwiii nimecheka. Ndugu kazi ni maisha iwe ya kuajiriwa au ya kujiajiri. Kujiajiri pia sio rahisi, kama uko ambitious enough kuna siku utafanya kazi hata siku 3 mfululizo usiku na mchana bila kupumzika sababu you are pushing your own na hautaki ukwame. Advantage ya kujiajiri ni kuwa unaweza ukafika stage pesa ikakufanyia kazi na wewe ukastay indoors siku nzima, Changamoto ni kuifikia hiyo stage hiyo!!!!
Yote kwa yote kila mtu lazima afanye kazi.
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!
Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!
And how long are we supposed to do this for?
Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Watu wanachuo sahau ndio kinacho wakwamisha
Kazi ni msingi wa maisha
Ajira ya boss ni mtaji wako kwaajili ya ajira yako
KAZI NI NGUMU AU INACHOSHA UKIWA NAYO.Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!
Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!
And how long are we supposed to do this for?
Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!
Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!
And how long are we supposed to do this for?
Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Leo ni tarehe 14 - utakuja badilisha Hii kauli karibia na mwisho wa mwezi
Mshara ni mtaji kabisakujiajiri sio rahisi kama unavodhan, mshahara haujawahi kua mtaji
Usipoenda kimwili huwa unaenda kiroho au?....sijaelewa hapaMie job naingia jtatu saa5 asubuh, na ijumaa naondoka sa 3 asbh narudi town iliko familia na michepuko yangu.
Tena nina raha sana, na sijawah fokewa na boss mwaka wa 7 sasa.
Kuna wiki nazikata bila kwenda kimwili lakn mahudhurio yapo.
Uko sahihi, kuna watu wanalipwa mishahara Kwa kuzomea wenzao Dodoma. Si Bora wewe umelala wala hujafokea Mtu?Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?
Yani mzunguko wako wa maisha ni ule ule [emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini[emoji1485]Nyumbani[emoji1485]Kazini
Ukiongezea hapo labda umeenda Bar kwa wale wanywaji, na kazi za wengi ni hand to mouth na makelele ya mabosi. Dah!
Mungu na hekima zake zote hawezi kuwa ametuumba ili tu kwenda kufanya kazi na kufa!
And how long are we supposed to do this for?
Leo mimi sijaenda kazini bhana na sijatoa taarifa, Nimechoka asee. Nahitaji kutafakari kama kuna mfumo mwingine wa maisha
Chezea Mshahara usichezee Kazi,
Fanya kazi kama mtumwa uje uishi kama mfalme.
Endelea tu kutafakari mkuu,ila jua kuwa wanaotafuta hiyo ajira ni wengi kuliko unavyowaza...Hivi nyie wenzangu mko sawa? yani hamjachoka? Unaamka tu na kwenda kufanya kazi na uko sawa? Na uko sawa kujua lazima uendelee kufanya hivyo kila siku?